CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Wewe chawa na mchuna ngozi unajua nini kuhusu Chadema.CHADEMA haina uwezo wala ubavu wala nguvu ya kuweza kushindana na CCM katika sanduku la kura.iwa sasa inaendelea kusambaratika na kupasuka vipande vipande kama kioo
Kwani Mpina ni Chadema?CHADEMA haina uwezo wala ubavu wala nguvu ya kuweza kushindana na CCM katika sanduku la kura.iwa sasa inaendelea kusambaratika na kupasuka vipande vipande kama kioo
Ndugu zangu Watanzania,
Alipokuwa anaingia na kutwaa madaraka ya urais kuna watu hawakuamini mioyoni mwao kama anaweza kuongoza Taifa letu kwa hata mwezi mmoja tu.walitamani kama wangekuwa na mamlaka au uwezo basi wangemuweka pembeni na kumuacha na Umakamu wake na wao kuweka mtu wao.waliona ni kama hastahili wala hafai wala hana huo uwezo wala hakuandaliwa kwa nafasi hiyo.
Lakini Mungu katika ulimwengu wake wa kiroho tayari alikuwa amemuandikia kwa wino usiofutika kuwa Mama Samia atainuliwa na kuwa Rais wa Taifa letu.Ndio maana pamoja na watu kuleta habari za ubaguzi kwa misingi ya jinsia na ukanda. Kumzushia mambo ya uongo, uchonganishi,fitina na chuki binafsi.bado Rais wetu ameendelea kuaminika ,kuungwa mkono ,kupendwa na kukubalika sana machoni pa watanzania ,huku Taifa likiendelea kutamalaki kwa amani na utulivu mkubwa sana.
Jambo ambalo linawaumiza sana waliokuwa hawana Imani na Rais wetu na waliokuwa wakitamani kutokuona akiwa Rais wetu.Lakini kubwa na linalowapa homa ni kuona namna watanzania wanavyohitaji kwa kiu kubwa sana kuona Mama huyu mzalendo na kipenzi cha watanzania akiendelea na muhula wa pili kama Rais.
Sasa ili kumkwamisha ,kumkatisha tamaa,kumchonganisha na wananchi,kumvunja moyo,kumchafua na kumpunguza kasi .sasa wabaya na wapinzani wa Mama yetu wameona watumie silaha yao ya mwisho ambayo nayo imeonekana kutokuwa na nguvu kabisa, ya kuzusha mambo ya uongo, uchonganishi na maneno ya fitina na chuki binafsi.na ndio mwisho wao mbaya sana utakaowapoteza kabisa katika ramani ,kwa sababu watanzania wameshatambua njia hiyo ya kumchafua Rais wetu mpendwa. Hakuna silaha ya aina yoyote ile itakayoinuka na kufanikiwa mbele ya Rais wetu mpendwa.kila kitu kitashindwa na mwisho Rais wetu itaendelea kuwa shujaa wetu na jasiri Muongoza Njia.
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hawa wapuuzi wakishindwa kujibu hoja lazima waihusishe Chadema,hata wakishindwa kuwafikisha wake zao kileleni wataihusisha Chadema.Kwani Mpina ni Chadema?
Hoja zake kaziweka bayana, wekeni majibu ya kueleweka,msikwepe
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais.kwa ufupi ni Kuwa tunaendelea kutamba na kudunda na Rais Samia Suluhu Hasssan hadi 2030.Mbwashambwa andaa shamba ili kuanzia 2026 uwe na shughuli nyingine ya kufanya hii ya sasa hautakuwa nayo tena kwasababu huyo bibi lazima tumfurushe 2025
Tuliza akili dogo acha kuropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongoWewe chawa na mchuna ngozi unajua nini kuhusu Chadema.
Umeomba ushahidi ukanyimwa ndio ukafikia conclusion kwamba ni uzushi na uongo kwa Samia? Sasa hili zaidi liko kwenye ukweli kwamba hakuna mtu mwenye akili atakutumia ushahidi vuvuzela kama wewe, hata ukiomba, lakini hilo halimaanishi kwamba ushahidi haupo.Wewe si ndio walewale waongo na wazushi? Unaweza vipi zusha habari ya uongo pasipo ushahidi halafu useme mtu akanushe kwa vithibitisho? Huoni huo unakuwa ni uwendawazimu na ukichaa?
Zee jinga linaloishi. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketeeNdugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida.
Ni kiongozi mwenye ufunuo wa kiroho wa kutambua masuala mbalimbali.ndio maana huwezi ukaona akikurupuka wala kuhemuka wala kuzungumza jambo hadharani bila staha. Ni mtu mtulivu,makini na mwenye kuchunga ulimi wake kabla na wakati wa kuzungumza.huwezi ukaona akijikwaa hovyo ulimi wake na kuleta taharuki au mgawanyiko ndani ya Taifa.
Alipokuwa anaingia na kutwaa madaraka ya urais kuna watu hawakuamini mioyoni mwao kama anaweza kuongoza Taifa letu kwa hata mwezi mmoja tu.walitamani kama wangekuwa na mamlaka au uwezo basi wangemuweka pembeni na kumuacha na Umakamu wake na wao kuweka mtu wao.waliona ni kama hastahili wala hafai wala hana huo uwezo wala hakuandaliwa kwa nafasi hiyo.
Lakini Mungu katika ulimwengu wake wa kiroho tayari alikuwa amemuandikia kwa wino usiofutika kuwa Mama Samia atainuliwa na kuwa Rais wa Taifa letu.Ndio maana pamoja na watu kuleta habari za ubaguzi kwa misingi ya jinsia na ukanda. Kumzushia mambo ya uongo, uchonganishi,fitina na chuki binafsi.bado Rais wetu ameendelea kuaminika ,kuungwa mkono ,kupendwa na kukubalika sana machoni pa watanzania ,huku Taifa likiendelea kutamalaki kwa amani na utulivu mkubwa sana.
Jambo ambalo linawaumiza sana waliokuwa hawana Imani na Rais wetu na waliokuwa wakitamani kutokuona akiwa Rais wetu.Lakini kubwa na linalowapa homa ni kuona namna watanzania wanavyohitaji kwa kiu kubwa sana kuona Mama huyu mzalendo na kipenzi cha watanzania akiendelea na muhula wa pili kama Rais.
Sasa ili kumkwamisha ,kumkatisha tamaa,kumchonganisha na wananchi,kumvunja moyo,kumchafua na kumpunguza kasi .sasa wabaya na wapinzani wa Mama yetu wameona watumie silaha yao ya mwisho ambayo nayo imeonekana kutokuwa na nguvu kabisa, ya kuzusha mambo ya uongo, uchonganishi na maneno ya fitina na chuki binafsi.na ndio mwisho wao mbaya sana utakaowapoteza kabisa katika ramani ,kwa sababu watanzania wameshatambua njia hiyo ya kumchafua Rais wetu mpendwa. Hakuna silaha ya aina yoyote ile itakayoinuka na kufanikiwa mbele ya Rais wetu mpendwa.kila kitu kitashindwa na mwisho Rais wetu itaendelea kuwa shujaa wetu na jasiri Muongoza Njia.
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe akili yako imechanganyika na damu za watu mnaowachuna ngozi.Tuliza akili dogo acha kuropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongo
Kazi ya uzushi na uongo mnayofanya kwa sasa inaendelea kuwaangamiza wenyewe.ndio maana mnaendelea kupuuzwa na watanzania.kwa kuwa wameshatambua mia yenye ovu mliyonayo.Umeomba ushahidi ukanyimwa ndio ukafikia conclusion kwamba ni uzushi na uongo kwa Samia? Sasa hili zaidi liko kwenye ukweli kwamba hakuna mtu mwenye akili atakutumia ushahidi vuvuzela kama wewe, hata ukiomba, lakini hilo halimaanishi kwamba ushahidi haupo.
nadhani ni muhimu zaidi,Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida.
Ni kiongozi mwenye ufunuo wa kiroho wa kutambua masuala mbalimbali.ndio maana huwezi ukaona akikurupuka wala kuhemuka wala kuzungumza jambo hadharani bila staha. Ni mtu mtulivu,makini na mwenye kuchunga ulimi wake kabla na wakati wa kuzungumza.huwezi ukaona akijikwaa hovyo ulimi wake na kuleta taharuki au mgawanyiko ndani ya Taifa.
Alipokuwa anaingia na kutwaa madaraka ya urais kuna watu hawakuamini mioyoni mwao kama anaweza kuongoza Taifa letu kwa hata mwezi mmoja tu.walitamani kama wangekuwa na mamlaka au uwezo basi wangemuweka pembeni na kumuacha na Umakamu wake na wao kuweka mtu wao.waliona ni kama hastahili wala hafai wala hana huo uwezo wala hakuandaliwa kwa nafasi hiyo.
Lakini Mungu katika ulimwengu wake wa kiroho tayari alikuwa amemuandikia kwa wino usiofutika kuwa Mama Samia atainuliwa na kuwa Rais wa Taifa letu.Ndio maana pamoja na watu kuleta habari za ubaguzi kwa misingi ya jinsia na ukanda. Kumzushia mambo ya uongo, uchonganishi,fitina na chuki binafsi.bado Rais wetu ameendelea kuaminika ,kuungwa mkono ,kupendwa na kukubalika sana machoni pa watanzania ,huku Taifa likiendelea kutamalaki kwa amani na utulivu mkubwa sana.
Jambo ambalo linawaumiza sana waliokuwa hawana Imani na Rais wetu na waliokuwa wakitamani kutokuona akiwa Rais wetu.Lakini kubwa na linalowapa homa ni kuona namna watanzania wanavyohitaji kwa kiu kubwa sana kuona Mama huyu mzalendo na kipenzi cha watanzania akiendelea na muhula wa pili kama Rais.
Sasa ili kumkwamisha ,kumkatisha tamaa,kumchonganisha na wananchi,kumvunja moyo,kumchafua na kumpunguza kasi .sasa wabaya na wapinzani wa Mama yetu wameona watumie silaha yao ya mwisho ambayo nayo imeonekana kutokuwa na nguvu kabisa, ya kuzusha mambo ya uongo, uchonganishi na maneno ya fitina na chuki binafsi.na ndio mwisho wao mbaya sana utakaowapoteza kabisa katika ramani ,kwa sababu watanzania wameshatambua njia hiyo ya kumchafua Rais wetu mpendwa. Hakuna silaha ya aina yoyote ile itakayoinuka na kufanikiwa mbele ya Rais wetu mpendwa.kila kitu kitashindwa na mwisho Rais wetu itaendelea kuwa shujaa wetu na jasiri Muongoza Njia.
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
DCEA anzeni na hii Gonjwa Tukuka tafadhali.Sina sababu ya kubishana na wewe wala kupoteza muda wangu kwako kwa sababu mimi huwa nabishana kwa hoja na watu wenye akili Timamu na afya ya akili na wanaojitambua vyema kabisa.
umepona kabisa kwanza, maana limekusumbua muda mrefu sana wewe gentleman ?πDCEA anzeni na hii Gonjwa Tukuka tafadhali.
Ndio maana mimi huwa nampuuza huyo maana ni kupoteza muda kuhangaika naye mtu ambaye unafahamu kichwani yupoje.umepona kabisa kwanza, maana limekusumbua muda mrefu sana wewe gentleman ?π
Lini CCM ilishinda kwenye Sanduku la Kura bila wizi wa kura?CHADEMA haina uwezo wala ubavu wala nguvu ya kuweza kushindana na CCM katika sanduku la kura.iwa sasa inaendelea kusambaratika na kupasuka vipande vipande kama kioo