Wapinzani wa Rais Samia waanza kutumia silaha ya Uzushi na uongo kumshambulia baada ya njia zao kushindwa.

Sasa tatizo lipo wapi wakati wapo juu ya ghorofa
 
Kuna hoja hapo ambayo naiunga mkono, Kuna watu hawakuamini kama Rais angeweza kuongoza taifa na wanapigwa butwaa Kila anapofanya jambo kubwa. Tatizo ni mfumo dume . Hawakuamini kwamba Rais mwenye jinsia ya kike anaweza kuongoza, kufanya mambo vizuri tu kama Rais mwenye jinsia ya kiume. Kinachouma wanawake nao wanaingia kwenye MTEGO wa kijinga badala ya kumsuport mwanamama mwenzao
 
Hata chura angeweza
 
Tuna kila sababu ya kuendelea kumuunga Mheshimiwa Rais
 
Hii inaitwa "ingratiating with government."
 
Hizi story zilikuwepo hata kipindi cha jiwe toka kwa chawa wake, tushazizoea. Ila leo umesahau kuweka namba ya simu
 
Hizi story zilikuwepo hata kipindi cha jiwe toka kwa chawa wake, tushazizoea. Ila leo umesahau kuweka namba ya simu
Rais Samia ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia na kuitunza sana.
 
Kanye huko
 
Umejaza tu server ya JF kwa maelezo meengi yasiyo na lazima, you could just summarize ningesoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…