mohamedjohn
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 467
- 277
Safi nikweli kabisaNgoja nikufungue macho kidogo, siku zote ukiona kanisa katoliki linatoa kauli ujue hiyo imepita, kwasababu wao ndiyo wanao control mambo mengi hao ni zaidi ya kanisa. Hakuna kiongozi wa kiserekali anaweza kushindana nao.
Wafunge makanisa sasa, au waweke distance zile recommended 😋😋 afu wametoa warning hawajaconfirm kuw Kuna covid 19 tzNi jambo jema!
Nasubiri kuona muitikio wa barakoa siku ya Jumapili Kanisani!
Jifungie ndan mkuu wew na familia yako mfe na njaa🤣🤣Afadhali sasa sauti zinaanza kupazwa toka kila kona, tuache kuishi kwa kudanganyana kama watoto, kila mmoja popote alipo achukue tahadhari kwa kujilinda yeye na awapendao, Corona ipo na inaua.
Chifu umewaza mbali sana! Askofu Bagonza na Mwamakua walipigana vitu nyikanani wakatoliki wakiwa kimya wakilinda 'ukatoliki'. Hatimaye na wao maji ya shingo.Wamevumilia ukatoliki mwisho wameona bora kama ni kuhama dini ahame.wamepasua mbarika.
Jinga kabisa wewe,,unataka wakuambie ukiumwa malaria kanunue fansida ,au metakeflini ya Kenya malaria inatibika je corona tumia akili kidogoWao ni Idara ya afya? Wanasemaje pia kuhusu Malaria?
Kwel asikie kilio chetu atuweke LOCKDOWN .TUnaomba utuweke lockdown ili tuone unatujaliSauti na zipazwe. Rais wetu mpendwa, rais wa wanyonge atakisikia tu kilio chetu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Shamba???Kesho akiwa anazindua shamba kule kijijin kwake atawajibu.
Mpaka tuambiwe mkuu,ukiona hutonywiSwala siyo watu kupigwa lock down ni kusema kuna tatizo watu wachukuwe tahadhari kukaa kimya watu wakiendelea kufa kwa wingi siyo sawa. Kwani kuna ugumu gani kusema kuna corona wakati kila mtu anafahamu kuwa Corona ipo
Wao ni Idara ya afya? Wanasemaje pia kuhusu Malaria?
Ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Na kweli atahama na hatakusanya hata zile sadaka kwenye kikapu. Shauri yao.Wamevumilia ukatoliki mwisho wameona bora kama ni kuhama dini ahame.wamepasua mbarika.
We waache. Atawajibu tu. Kwamba hawana imani na Mungu wanayemtumikia. Wanatudanganya tu na majoho yao.Kesho akiwa anazindua shamba kule kijijin kwake atawajibu.
Wao ni Idara ya afya? Wanasemaje pia kuhusu Malaria?
Akija huyo waziri na kuikanusha hii taarifa tutamuona ni 'mpumbavu' na atajishushia heshima ya kuwa daktari.Nasubiri Waziri wa Afya aje akanushe hii taarifa ya kovidi.
Hii kitu hadi bbc wameitangaza unadhani ni rahisi kwa namna hiyo? alafu hawa watu wanajua sana kula na kipofu. ila ukiwazingua wanakuzingua mara mia.We bhana acha habari zako! Mara ngapi kanisa limeshawahi kukana waraka wao?! Tuombe tu wasitikiswe lakini kwa serikali hii don't say "NEVER"! Au tuombe tu iwe wameshapata baraka za wenye mamlaka!
Tena na siku akiamka vibaya akashauriwa hivyoMkuu tuache siasa, watz hatujui tunataka nini.
Siku akitangaza lock down nakuhakikishia watapiga kelele mno ooh anataka kuua raia, ooh uchumi utakufa.
Likija swala la siasa huwa nakuwa kimya tu
Kwel asikie kilio chetu atuweke LOCKDOWN .TUnaomba utuweke lockdown ili tuone unatujali
Kama corona ipo kwanini watu wao kama wao wasichkue tahadhariSwala siyo watu kupigwa lock down ni kusema kuna tatizo watu wachukuwe tahadhari kukaa kimya watu wakiendelea kufa kwa wingi siyo sawa. Kwani kuna ugumu gani kusema kuna corona wakati kila mtu anafahamu kuwa Corona ipo
We mwache tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu kila siku anakejeli uvaaji wa barakoa na hashauriki