Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

Nilifika Kijiji kimoja ndani ndani uko hamna nyumba ya bati lakini Katoliki wana kanisa kubwa na shule vidudu hadi Secondary, Hospital na visima vya maji kwa ajili ya wananchi Wakristo na Waislamu.
 

Attachments

  • IMG-20230819-WA0609.jpg
    47.6 KB · Views: 3
Mambo yatakayojitokeza baada ya Waraka huu.

1. WAKATOLIKI na Watanzania watakuwa tayari kuulinda, kuutetea Waraka huu hata kama ni kimyakimya.
2. Serikali sasa iwe makini dni haina mipaka eneo la kazi, tumechanganyana humo, wako wabunge, mahakimu, mapolisi, wanajeshi, wakulima, walimu, madaktari, wafanyakazi bandarini, yaani popote na kwa kawaida WAUMINI HUWA HATUPINGI MAELEKEZO YA KIROHO, KWA SASA KUTOKUBALIANA NA MKATABA WA BANDARI NI SUALA LA KIROHO.
3. Waraka wa Maaskofu Katoliki Tanzania ukiwa na hoja muhimu ni vyema zijibiwe kwa uwazi na weledi, halafu waumini na viongozi wetu kiroho tukiyaelewa majibu yenu Spika, Rais, Prof. Mbarawa tutarudi kwa waumini kuwaambia mmeeleweka
 
Agizo nadhani linahusu hadixjunuiya ndogo ndogo katika ngazi za familia, warakan utasomwa kila jumamosi katika mikusanyiko ya ibada za jumuiya. Nadhani wiki 6 zikiisha, wataongeza.
 
Aliyetufikisha hapa ni BETINA!
 
Acheni kuuza nchi mbwa nyie. Waraka huo utasomwa misa zote, na kama nyie wanaume, pelekeni jeshi likazuie misa ya ibada takatifu popote pale katika hii nchi.
 
Baba wa nchi hii (katoliki) ameshamaliza tayari kilichobaki ni kuchoma Moto huo mkataba
 
Nchi inaendelea kugawanyika, kwasababu ya kiongozi dhaifu asiyejitambua.

Cc Lord denning njoo na wale jamaa zako muwagombeze na hawa wa Moshi[emoji1787][emoji1787]safari hii lazima muwe machizi!.
 
Nchi inaendelea kugawanyika, kwasababu ya kiongozi dhaifu asiyejitambua.

Cc Lord denning njoo wagombeze na hawa wa Moshi[emoji1787][emoji1787]
Wenye akili hatuwezi kugawanyika. hata wakitoa Bakwata, nitawaunga mkono sana maana wanatetea haki
 
Tamko la TEC ni amri kwa nchi na dunia, hivyo kutii ni lazima. Tujiandae kusikia mama mkubwa akijibadilisha kama kinyonga kuukana mkataba wa DPW. All
 
Yaani waambie hivi hata usomwe kila jumapili kwa miaka 10 mfululizo Serikali haiachani na kamwe haitoachana na mkataba wa uwekezaji wa Bandari

Alafu waambie warudishe pesa za escrow hatujasahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…