Kwa miaka mingi kanisa Katoliki limekuwa na ushawishi wa namna yake ndani ya nchi. Wakiongea wao, basi jua wamemulika ukweli na uhalisia wa kile wanachokiongea.
Juzi baraza la maaskofu limekuja na waraka ambao unatia walakini kidogo, umekaa kisiasa zaidi tofauti na uhalisia.
Ikitokea mapendekezo yao hayatafuatwa, huu ndio utakuwa mwisho wa ushawishi wake?