King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Maaskofu wazinzi kuna sababu ya msingi ya kutilia maanani wanachozungumzaNyinyi ndugu zetu kweli mmenyimwa akili! Sasa hiki ulichokiandika hapa kina uhusiano gani na hilo tamko lao la kutaka huo mkataba wa bandari kuboreshwa, ili uwe na manufaa kwa nchi?