King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Kuna hoja gani hapo za kujibu babu? Baada ya miaka 10 tutawaita tuwaulize kiko nyie wapinga maendeleo? Sana mtaishia kupata aibu tu Kwa upumbavu mnaofanya.Waarabu waje hata kesho ila Maaskofu na kanisa Katoliki tunasema No kwa mikataba ya kilaghai halafu ungejibu hoja kwanza na sio kukurupuka kama umetoka usingizini.