Mpaka kufikia TEC kutoa walaka huo tambua kuwa wana baraka zote kutoka Vatican,, endapo Serikali itashupaza shingo kitakacho fuata pengine mimi na wewe tusingependa kuona,, tusiombee itokee hivyo hasa kwa kutambua kuwa hakuna nchi duniani ambayo Vatican waliweka mguu wao na wakashindwa,, tusilitazame hili jambo juu juu tu tajaribu kulitizama kwa ukubwa wake halisi,, Catholic ni zaidi ya unavyoijua,, busara itumike ili tuvuke salama,,Kwa miaka mingi kanisa Katoliki limekuwa na ushawishi wa namna yake ndani ya nchi. Wakiongea wao, basi jua wamemulika ukweli na uhalisia wa kile wanachokiongea.
Juzi baraza la maaskofu limekuja na walaka ambao unatia walakini kidogo, umekaa kisiasa zaidi tofauti na uhalisia.
Ikitokea mapendekezo yao hayatafuatwa, huu ndio utakuwa mwisho wa ushawishi wake?
Wanadai mwarabu ni tajiri dunia nzima, waendelee kukaza fuvu.Mpaka kufikia TEC kutoa walaka huo tambua kuwa wana baraka zote kutoka Vatican,, endapo Serikali itashupaza shingo kitakacho fuata pengine mimi na wewe tusingependa kuona,, tusiombee itokee hivyo hasa kwa kutambua kuwa hakuna nchi duniani ambayo Vatican waliweka mguu wao na wakashindwa,, tusilitazame hili jambo juu juu tu tajaribu kulitizama kwa ukubwa wake halisi,, Catholic ni zaidi ya unavyoijua,, busara itumike ili tuvuke salama,,
Umemaliza Kila kitu mkuu wa kaziMpaka kufikia TEC kutoa walaka huo tambua kuwa wana baraka zote kutoka Vatican,, endapo Serikali itashupaza shingo kitakacho fuata pengine mimi na wewe tusingependa kuona,, tusiombee itokee hivyo hasa kwa kutambua kuwa hakuna nchi duniani ambayo Vatican waliweka mguu wao na wakashindwa,, tusilitazame hili jambo juu juu tu tajaribu kulitizama kwa ukubwa wake halisi,, Catholic ni zaidi ya unavyoijua,, busara itumike ili tuvuke salama,,
kikubwa tunaendelea kuelewa kina nani wapo kwa ajili ya maslahi ya nani,Ile tu nakusoma umeandika walaka badala ya waraka moja kwa moja hoja yako ni ya kipuuzi. Una mtazamo finyu kuhusu ushawishi wa taasisi hiyo. Hata wakishupaza shingo wakaendelea na mkataba wao wa kijuha still taasisi hiyo itaendelea kuwa na ushawishi daima
Tuambie kwa mfano nini kinaweza kutokea na ni wapi walikaidi mambo ya vatican na nini kiliwatokea.Mpaka kufikia TEC kutoa walaka huo tambua kuwa wana baraka zote kutoka Vatican,, endapo Serikali itashupaza shingo kitakacho fuata pengine mimi na wewe tusingependa kuona,, tusiombee itokee hivyo hasa kwa kutambua kuwa hakuna nchi duniani ambayo Vatican waliweka mguu wao na wakashindwa,, tusilitazame hili jambo juu juu tu tajaribu kulitizama kwa ukubwa wake halisi,, Catholic ni zaidi ya unavyoijua,, busara itumike ili tuvuke salama,,
Broo rejea hapo Kongo tu.. umoja wa maaskofu wakisema hatuna Imani na huyo rais ujue wamemaliza mchezo, hao akina ksekedi wapo pale madarakan sio Kwa sababu ya kura tu,,Bali mapendekezo ya hizo taasisi za dini..but Kwa nchi yetu huwezi ukagundua hili live mpka uwe mwelewa San,.Tuambie kwa mfano nini kinaweza kutokea na ni wapi walikaidi mambo ya vatican na nini kiliwatokea.
Acha kututishia,mbona awamu iliyopita wakati watu wanapotezwa mfululizo na wengine kupigwa risasi mchana kweupe hatukuona waraka wowote toka hiyo jumuiya wala hata Vatican hawakutia mguu,au wanachagua matukio?Mpaka kufikia TEC kutoa walaka huo tambua kuwa wana baraka zote kutoka Vatican,, endapo Serikali itashupaza shingo kitakacho fuata pengine mimi na wewe tusingependa kuona,, tusiombee itokee hivyo hasa kwa kutambua kuwa hakuna nchi duniani ambayo Vatican waliweka mguu wao na wakashindwa,, tusilitazame hili jambo juu juu tu tajaribu kulitizama kwa ukubwa wake halisi,, Catholic ni zaidi ya unavyoijua,, busara itumike ili tuvuke salama,,
Mnamtisha nani hapa.Mpaka kufikia TEC kutoa walaka huo tambua kuwa wana baraka zote kutoka Vatican,, endapo Serikali itashupaza shingo kitakacho fuata pengine mimi na wewe tusingependa kuona,, tusiombee itokee hivyo hasa kwa kutambua kuwa hakuna nchi duniani ambayo Vatican waliweka mguu wao na wakashindwa,, tusilitazame hili jambo juu juu tu tajaribu kulitizama kwa ukubwa wake halisi,, Catholic ni zaidi ya unavyoijua,, busara itumike ili tuvuke salama,,
Walikua wanaunga mkono, ndio tafsiri yake.Acha kututishia,mbona awamu iliyopita wakati watu wanapotezwa mfululizo na wengine kupigwa risasi mchana kweupe hatukuona waraka wowote toka hiyo jumuiya wala hata Vatican hawakutia mguu,au wanachagua matukio?
Kwa hili mimi naona halitaongeza wala kupunguza.Mwisho wa ushawishi au ndo wanazidi kuimarika?
Kwa miaka mingi kanisa Katoliki limekuwa na ushawishi wa namna yake ndani ya nchi. Wakiongea wao, basi jua wamemulika ukweli na uhalisia wa kile wanachokiongea.
Juzi baraza la maaskofu limekuja na waraka ambao unatia walakini kidogo, umekaa kisiasa zaidi tofauti na uhalisia.
Ikitokea mapendekezo yao hayatafuatwa, huu ndio utakuwa mwisho wa ushawishi wake?
Yaani kile walichokisema TEC kiachwe kufuatwa halafu hao walioelekezwa wabaki salama??
Hivi unaijua TEC vizuri???
Walakini wa walichokisema ni nini...?
Siasa za dunia hii hazipo kama ukatoliki haupo!!!
Just imagine viongozi wote wakubwa dunia hii wanapoingia madarakani, breki ya kwanza ni vatican city kwa pope!!!
Serikali haiwezi kutishiwa nyau na kijiwaraka uchwara cha Tec, bandarini mwarabu atakuja na baada ya siku kadhaa watakuja kupata aibu ya Karne kwani bandari itakuwa imepiga hatua kubwa na mapato yataongezeka!!