Waraka wa Kanisa Katoliki: Je huu utakuwa mwisho wa ushawishi wa taasisi hii kubwa?

Waarabu waje hata kesho ila Maaskofu na kanisa Katoliki tunasema No kwa mikataba ya kilaghai halafu ungejibu hoja kwanza na sio kukurupuka kama umetoka usingizini.
Kuna hoja gani hapo za kujibu babu? Baada ya miaka 10 tutawaita tuwaulize kiko nyie wapinga maendeleo? Sana mtaishia kupata aibu tu Kwa upumbavu mnaofanya.
 
Pitia huo uzi utapata elimu
 
What is Vatican bwana mdogo? Acha hiyo slave mentality. We are Tanzanians we can't be driven by Vatican. After all Vatican is corrupt with priest sodomizing their fellows
 
Na mbaya zaidi ameandika kimihemko zaidi sijaona siasa yoyote kwenye ule waraka
 
Serikali haiwezi kutishiwa nyau na kijiwaraka uchwara cha Tec, bandarini mwarabu atakuja na baada ya siku kadhaa watakuja kupata aibu ya Karne kwani bandari itakuwa imepiga hatua kubwa na mapato yataongezeka!!
Sawasawa vingi vilivyobinafsishwa vimeendelea kwa kishindo.
 
Hiyo ni dhana tu,kama Vatican ingekuwa na nguvu kiasi hicho imeshindwa Nini kumaliza migogoro inayoendelea katika nchi mbalimbali ulimwenguni kote?
 
Hao walishapotena kitambo hawakuwah kutoa waraka kwa raisi akiwa mkristo hao jk kila mwezi walikuwa wanatoa waraka
 
Nchi imeuzwa, ndicho wanachohoji, unataka uhalisia gani zaidi ya huo?
 
Kwani katika hilo tamko lao kuna mahali wamesema ni kazima hayo mapendekezo yao yafuatwe? Tuanzie hapa kwanza.

Au unafikiri hili ndiyo tamko lao la kwanza tangu hicho chombo kilipoundwa? Unaelewa maana ya kutimiza wajibu?
 
Hao walishapotena kitambo hawakuwah kutoa waraka kwa raisi akiwa mkristo hao jk kila mwezi walikuwa wanatoa waraka
Haya ndiyo matatizo ya kukimbia shule. Mwisho wa siku unajikuta umekuwa mzushi na mtu usiye na kumbukumbu.
 
Taasisi hiyo imejaa maaskofu na mapdre wazinzi mtaani Wana vimada wamewazalisha watoto wa kutosha halafu waumini tunadanganywa kanisa haliruhusu mapdre kuoa wala kuzini.

Yaani ni hivi, hatiwajadili wao mmoja mmoja, jadili walicho andika ama walichomisema.

Tukianza kumjadili mtu, tena mmoja mmoja hata hao wanaounga mkono mkataba, nao wana vimada kila mtaa
 
Tuonyeshe huo walakini na siasa katika tamko lao.
 
Taasisi hiyo imejaa maaskofu na mapdre wazinzi mtaani Wana vimada wamewazalisha watoto wa kutosha halafu waumini tunadanganywa kanisa haliruhusu mapdre kuoa wala kuzini.
Nyinyi ndugu zetu kweli mmenyimwa akili! Sasa hiki ulichokiandika hapa kina uhusiano gani na hilo tamko lao la kutaka huo mkataba wa bandari kuboreshwa, ili uwe na manufaa kwa nchi?
 
Yaani ni hivi, hatiwajadili wao mmoja mmoja, jadili walicho andika ama walichomisema.

Tukianza kumjadili mtu, tena mmoja mmoja hata hao wanaounga mkono mkataba, nao wana vimada kila mtaa
Naona Sheikh amepaniki kweli kweli. Ameona bora ajikite tu kuwajadili watu, badala ya tamko.
 
Mbona wakati wa kugombea uhuru,walijitenga,Mwalimu Nyerere akaenda kuombewa dua na Masheikh(hotuba ipo).Na uhuru ukapatikana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni dhana tu,kama Vatican ingekuwa na nguvu kiasi hicho imeshindwa Nini kumaliza migogoro inayoendelea katika nchi mbalimbali ulimwenguni kote?

Nani kakuambia migogoro inaweza kuisha?
Wewe kwenye familia migogoro haitokei???
 
So Vatican ndo watupangie mambo yetu ya ndani?
Kwako wewe Vatican ndo kama Miungu?
Chochote wanachosema Vatican lazima tukifuate??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…