Nyinyi ndugu zetu kweli mmenyimwa akili! Sasa hiki ulichokiandika hapa kina uhusiano gani na hilo tamko lao la kutaka huo mkataba wa bandari kuboreshwa, ili uwe na manufaa kwa nchi?
Sasa Ninejua why Roma itawala dunia. TEC wametoa tamko la kuokoa Bandari na architecture zetu .lakini kuna Taasisi zimekaa kimya. Dini na makanisa mengine wako wapi acha yashupaze shingo yatapoteza waumini wote kazi yao ni kuchukua sadaka