Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

Sherehe lazima ila ukubwa wa sherehe ndio itategemea sasa
 
Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? πŸ˜‚
Umenena vyema mkuu.

Wanawake wengi wangekuwa na msimamo kama huu ndoa zingekuwa nyingi zaidi, maana kwa ME sherehe zinaleta stress tuu
 
Mimi nipo tayari ila mama yangu atasema over my dead body hahahahaha. Zile hekaheka za sherehe na zinavyomaliza hela kazi ya kukumbushia michango ni kazi kubwa mno kwangu kama nikiwa na chaguo la kufunga ndoa bila sherehe nitafanya.
Unalo chaguo.

I thought you are a free person
 
Dah..
KE wenye akili kubwa hivi mtandaoni wapo ila mtaani hakunagaπŸ™„
 
Naona mmeanza kutumia madaraka vibaya, kutoa huyo pesa yote burebure ni ufujaji wa pesa za chama. Mjitafakari.
 
Nimeipenda hii πŸ‘πŸ½
Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? πŸ˜‚
 
Mimi nipo tayari ila mama yangu atasema over my dead body hahahahaha. Zile hekaheka za sherehe na zinavyomaliza hela kazi ya kukumbushia michango ni kazi kubwa mno kwangu kama nikiwa na chaguo la kufunga ndoa bila sherehe nitafanya.
Ukweli ni kwamba, wanaopenda sherehe mara nyingi ni wazazi, ndugu, jamaa na marafiki!

Wewe unaweza ukawa unataka kufanya kimyakimya, ukiwaeleza wazazi, kaka/dada, mashangazi nk wote wanakujia juu mara "ooh, sisi tumeshachangia watu wengi sana, hutaki na wao watuchangie? Tutaelewekaje uoe ata tusialike marafiki zetu/jamaa/vikundi vyetu vya kusaidiana/jumuia/wafanyakazi wenzetu nk?" "Utaoaje kimyakimya kama vile hauna ndugu/watu wa karibu?" "We usijali tuachie sisi kila kitu tutashughulikia..!!"
 
Hahahha not to my mother kuhusiana hasa na hiyo kufanya sherehe ama laah. Wazazi wa kiafrica wanapenda masherehe ndio muda wao wa kutamba. Utasikiaa weeeh mi nshawachangia sana halafu uolewe kimya kimya huna ndugu kwani.
Hahahahahahaha

I know what you are saying.... its Africa

Nice knowing that you are not married yet
 
Kabisa yani. Halafu hamnaga tuachie sisi kila kitu unashangaa hela inakutoka tu mwanzo mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…