Kee_tah
Senior Member
- Feb 26, 2019
- 136
- 243
Sherehe lazima ila ukubwa wa sherehe ndio itategemea sasaWote tunafahamu kuwa swala la ndoa ni jambo la heshima na baraka katika misingi ya kijamii na kiimani.
Swala la kufanya ndoa kama sherehe kubwa liko katika maamuzi na mapenzi ya wanandoa wenyewe japo linaweza chagizwa na wazazi ama walezi pia.
Leo nataka nipate tathmini kutoka kwa wachumba esp. wadada je, wewe upo tayari kufunga ndoa bila kuinvolve sherehe?