Hapo huyo anaesema tuachie sisi kila kitu unakuta kwenye bajeti ya 30m kachanga laki mbili πKabisa yani. Halafu hamnaga tuachie sisi kila kitu unashangaa hela inakutoka tu mwanzo mwisho.
Kwa Mara ya kwanza tumeamua kutoa zawadi kutokana na ushujaa wa mwanamke huyoNaona mmeanza kutumia madaraka vibaya, kutoa huyo pesa yote burebure ni ufujaji wa pesa za chama. Mjitafakari.
[emoji1][emoji1]Hapo huyo anaesema tuachie sisi kila kitu unakuta kwenye bajeti ya 30m kachanga laki mbili [emoji23]
π π πLeo humu kila mwanamke hapendi sherehe. Tehe teh.
π€£π€£Leo humu kila mwanamke hapendi sherehe. Tehe teh.
Hii comment imekula Golden Prize as the best commentary of the day πNini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? π
Born 86 na bado hujaolewahiki ndio nachotamani jamani natamani sana mwanaume tutakayetaka kwenda naye step ya ndoa anielewe kuwa sitaki kabisa sherehe, na ikiwezekana harusi tufunge siku ya week tuende ofisini kwa mchungaji sisi wanandoa na wasimamizi basi, tukitoka hapo tukale lunch then kila mtu arudi kwake.
Sherehe ambazo zimezoeleka ni zile za kula na kunywa million 40-100 kwa usiku mmoja! Zinazojumuisha maukumbi. Misafara ya gari za gharama, ma MC wa gharama, Photoshoot na video, Mara Mac Juice ndani n.k Anything thats looks overcomplicated.iMimi mnyaki ambaye sherehe ipo damuni nacomment wapi?[emoji6][emoji6][emoji6]
Kwenye msiba nalia nagalagala afu harusi ndiyo ningefanya kimya kama nimeiba mume au naolewa ndoa ya 3?
Afu shemeji hujaspecify, sherehe unazoongelea ni zile za kutrend au hata zile ambazo labda mnakuwa na sherehe simple tu na ndugu wa pande zote 2 na friends wachache?
Kama bado hujaolewa naomba nilete posa kwenu mamiii...utanifaa sana sana hasa kwa uchumi huu wa katiπππNini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? π
Majukumu kidogo my dear ila nipo!Umeadimika sana rafikii...