Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Alikataa kwa kua hana ushahidi.

Mahakamani asingeweza kushinda kwa kua hana ushahidi wa kikicho tokea ndani. Ushahidi wote ni wa baada ya tukio ambao haujastify kua kweli tukio lilikuepo ukiachia mbali nani kafanya hili tukio.
Demu kanjanja huyo
 
Kabisa, no visa entry kwa Nigeria mi nafikiria hata Bara tuwapige BAN
 
Upuuzi tu, tuhuma za uhalifu wa ngono sio mpya Zanzibar.

Hao wenye hotel wanaona ni sawa wafanyakazi wao kufanya ngono na wageni?? Hakuna work ethics huko visiwani?
Point kubwa Sana hii, yaani hii story isingemake headlines kama huyo mtu asingekuwa staff hapo... Ni kosa Kufanya ngono kazini na ukibainika ni Kosa la kufukuzwa kazi
 
Wanaijeria walio wengi matapeli.
Huyu anatafuta umaarufu, au kaona fursa kupitia uzushi.

Uchunguzi ifanyike:
1. Mtu mpaka anashikwa titi zako (ulilewa au?...
2. Unatomaswa halafu unapatwa hisia za ndoto...
3. Unashtuka halafu mnajadili namna ya kunikinga n.k
4. Unatoka unakaa mwaka mzima halfu unakuja kuandika badala ya kushtaki n.k

Huyu dada hayuko sawa, na kundi lake wote hawako sawa.
 
Sema mlinzi alikosea kwenya ananuka angeoga kwanza[emoji23][emoji23][emoji16]
 
Kwa tamko hili ndiyo kwanza Management ya hotel imemwaga petrol kwenye moto.
Nadhani Zanzibar wako too soft na masuala ya work ethics...

Sisi hata tuwatete vipi Hii hotel imekwisha chafuka, bahati mbaya wanaoenda kwenye hoteli za kitalii wanaangalia Maoni ya waliokuwepo, so kama Wanaigeria wakiungana kuirate vibaya Biashara itapata hasara
 
Kwaiyo kuhusishwa watu awo kwako wewe ni evidence tayari?

Tapeli mkubwa huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…