Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Alikataa kwa kua hana ushahidi.

Mahakamani asingeweza kushinda kwa kua hana ushahidi wa kikicho tokea ndani. Ushahidi wote ni wa baada ya tukio ambao haujastify kua kweli tukio lilikuepo ukiachia mbali nani kafanya hili tukio.
Demu kanjanja huyo
 
Hamna kuwakaribisha hao watu wanaogopewa dunia nzima kwa wizi,ulaghai,uongo hata Kwenye madanguro ya kuwapeleka waAfrica nje kujiuza wao ndio wanayoyaendesha,,,anyways Zanzibar tourism inabid iwaangalie sana hawa watu!!!No visa kwa wanigeria mpaka Hii ishu iwe sort out wamechafua sana Zanzibar kwa tukio la mtu mmoja!
Kabisa, no visa entry kwa Nigeria mi nafikiria hata Bara tuwapige BAN
 
Upuuzi tu, tuhuma za uhalifu wa ngono sio mpya Zanzibar.

Hao wenye hotel wanaona ni sawa wafanyakazi wao kufanya ngono na wageni?? Hakuna work ethics huko visiwani?
Point kubwa Sana hii, yaani hii story isingemake headlines kama huyo mtu asingekuwa staff hapo... Ni kosa Kufanya ngono kazini na ukibainika ni Kosa la kufukuzwa kazi
 
Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha.

Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili kulimaliza.

But Warere Owner walipokataa kumpa kiasi hicho akaondoka kwa jazba na kuhaidi ataichafua na kuiharibia hoteli kupitia mitandaoni na waniger wenzake.

Kama kinapanda soma hapo chini[emoji1484];
View attachment 2190611
Wanaijeria walio wengi matapeli.
Huyu anatafuta umaarufu, au kaona fursa kupitia uzushi.

Uchunguzi ifanyike:
1. Mtu mpaka anashikwa titi zako (ulilewa au?...
2. Unatomaswa halafu unapatwa hisia za ndoto...
3. Unashtuka halafu mnajadili namna ya kunikinga n.k
4. Unatoka unakaa mwaka mzima halfu unakuja kuandika badala ya kushtaki n.k

Huyu dada hayuko sawa, na kundi lake wote hawako sawa.
 
Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha.

Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili kulimaliza.

But Warere Owner walipokataa kumpa kiasi hicho akaondoka kwa jazba na kuhaidi ataichafua na kuiharibia hoteli kupitia mitandaoni na waniger wenzake.

Kama kinapanda soma hapo chini[emoji1484];
View attachment 2190611
Sema mlinzi alikosea kwenya ananuka angeoga kwanza[emoji23][emoji23][emoji16]
 
Kwa tamko hili ndiyo kwanza Management ya hotel imemwaga petrol kwenye moto.
Nadhani Zanzibar wako too soft na masuala ya work ethics...

Sisi hata tuwatete vipi Hii hotel imekwisha chafuka, bahati mbaya wanaoenda kwenye hoteli za kitalii wanaangalia Maoni ya waliokuwepo, so kama Wanaigeria wakiungana kuirate vibaya Biashara itapata hasara
 
Which Tanzanians are inferior?Did you read, hear, check all the evidence put forward by the lady? Would you have the same opinion had it been your sister, mother, daughter?
This issue has been collaborated by the hotel, police, Russians that she took refuge to.The responsible organs need to come out and give out answers.
Kwaiyo kuhusishwa watu awo kwako wewe ni evidence tayari?

Tapeli mkubwa huyo
 
Back
Top Bottom