Wasaka ubunge ndani ya CHADEMA waanza kumzidi nguvu Tundu Lissu

Si tuliwaambia, Kiko wapi sasa? Machadema huwa hamna akilu
Una papara sana, jifunze kutulia usome na kuelewa, bila kusahau edit maandiko yako ili yalete maana uliyokusudia.
 
Muhimu wazingatie muda, kutoka sasa mpaka 2024 kwenye uchaguzi wa SM sio mbali.
 
Principle hazichange.

Kama katiba ya sasa haiwezi kuguarantee uchaguzi huru na haki basi haiwezi hata kama Samia ana tabasamu zuri namna gani
I agree, kanuni hazibadiliki..

Na principle ya sasa ni kuwa CCM ndiyo wanaongoza serikali....

Never think that, kuna siku watakupa uchaguzi huru na wa haki Kwa mkupuo mara moja.....!

Swali kubwa ni hili, kwamba, utaendelea kususia uchaguzi mpaka upewe hiki au kile?

Sisemi kuwa watu waache kupigania katiba mpya. Nina maana ya kuwa ni ngumu kupata kila kitu Kwa mara moja...!

Presha ya demand ya katiba kubwa lazima iongezeke marudufu. Lakini pia ni lazima kubadili mbinu na njia za mapambano..

Kuingia bungeni na kuipigania huko ndani ya chombo hiki muhimu Kwa nchi nayo ni njia na tena muhimu sana.....

Kwa hiyo lazima, kuwe na presha kubwa ya kuhakikisha kuwa upuuzi uliofanyika katika changuzi za mwaka 2019 na 2020 haufanyiki tena....

Waendelee kuzungumza. Wakubali kupata kiasi na kupoteza kiasi pia maana hiyo ndiyo kanuni ya kuridhiana..!!
 

Katiba mpya haitapatikana kwa kuicheza ngoma ya CCM. Uzi huu unahusika:

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

Huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
 

Kama CDM hawakujifunza kutokana na kosa la kumpokea Lowassa na kuonekana hawana msimamo, basi hawatakaa waaminike tena. Iwapo CDM itaamua kushiriki huo uhuni uitwao uchaguzi bila tume huru, basi wajue wataharibu jumla haiba yao. Ni bora kutoshiriki huo uhuni, ili wapiga kura wawe wachache sana, kuliko kushiriki huku sisi wapiga kura wao tukiwa tumelipuuza box la kura.
 

1. Katiba mpya ni kipaumbele
2. Bila katiba mpya hakuna uchaguzi

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

Twende kazi.
 
Sahihi ujuavyo ccm hua inawaamulia ushindi miaka yote kwenye majimbo ,ccm iliyobugi ni yamagufuli TU , Lisu anaakili Sana ,miaka yote chadema haijawahi fikisha majimbo 50 ya uchaguzi yote Kwa kua na tume mbovu na katiba .......Lisu Yuko makini Sana ,walipofikia sio sehemu ya kujikomba Tena Kwa ccm
 
Sasa ina maana gani kushiriki uchaguzi ambao unajua watakuibia tu na katiba hii mbovu inawapa leeway?.

Insanity is doing the same thing over and over again and expect different results.
 

Kabisa, kushiriki uchaguzi kwa katiba hii mbovu ni matumizi mabaya ya muda. Ninaamini kwa tume hii wapiga kura watakuwa wachache kupita maelezo. Wanachotaka CCM ni kuwarubuni CDM ili wakubali kushiriki uchaguzi ili kuwe na wapiga kura wengi ili kuficha aibu ya kutokukubalika.
 

Maelezo yako ni mazuri lakini yako kimadharia zaidi kuliko uhalisia. Huko bungeni muongoza bunge ni speaker. Na ukiongea nje ya anachotaka anakutoa nje, na ukigoma wanaitwa askari wa bunge kukipiga na kukudhalilisha.

Au utaanza kushout kuwa unataka katiba mpya? Kudai katiba mpya kupitia bunge ni kujidanganya hadi ukizingatia bunge letu linavyoendeshwa.
 
 

Attachments

  • 1677930512334.png
    282.6 KB · Views: 1
 
Muhimu Sana kuwa na misimamo thabit Kwan kitendo Cha kutoshiriki uchaguzi wa 2025 kwa Katiba hii, hicho ndicho kitaleta Katiba Bora nchi hii. Mtu anayetaka kwenda bungeni kwa Katiba hii anataka kwenda kwa maslahi yake na sio ya Taifa.
 

Ni bora hivyo vyama vingine vishiriki na hayo mambo yaende, kuliko kushiriki upuuzi ambao unajua kabisa matokeo yanachezewa. Sio lazima kupata madaraka kwa njia ya kushiriki chaguzi za kishenzi, kwani hata waliopo madarakani hawapati hayo madaraka kwa njia ya kura.
 

Basi msipige kelele,

Coz hiyo katiba mpya haiji Leo wala kesho na hamna nguvu ya kuleta shinikizo lolote so no need ya kuwa kwenye siasa
 
Muhimu Sana kuwa na misimamo thabit Kwan kitendo Cha kutoshiriki uchaguzi wa 2025 kwa Katiba hii, hicho ndicho kitaleta Katiba Bora nchi hii. Mtu anayetaka kwenda bungeni kwa Katiba hii anataka kwenda kwa maslahi yake na sio ya Taifa.

Tatizo mnajiona mna nguvu na hamna lolote

Wanawake si wale wapo bungeni? Mbona mlijifanya kigoma, kuandika barua, kuwafukuza mbona bado wapo?

Ishu mnayotakiwa kujua ni kuwa hata kama mkisema mnafuta chama chenu, hakuna mtu yoyote anaadhirika

Nyie sio wakubwa tena, sio wale wa kuita maandamano inchi mzima

Now ni kama TADEA tu
 
Tunao candidates wa kutosha hatuwezi kuchukua makapi toka CCM,kosa kurudia kosa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…