Wasaka ubunge ndani ya CHADEMA waanza kumzidi nguvu Tundu Lissu

Acha unafiki wewe jamaa!! Wapanga mikakati wote wa chama mliwafukuza kwa kuwaita wasaliti, Zitto, Kitila, Kafulila, Mdee na wenzake, Slaa, Baregu, Safari, Kubenea, Komu nk nk! Mkabaki na hawa wapayukaji majukwaani akina Henje na Lema nanyi mkiwaita MAKAMANDA, Siasa haihitaji ukamanda, inahitaji akili MINGI! Kifupi kwa sasa chama chenu kwa sasa wamejaa wapayukaji tu wasiojua modern politics zinaendaje, NDIYO MAANA IKASHANGAZA KURUHUSIWA KWA MIKUTANO YA HADHARA LEO HATA WEEK MBILI HAZIJAPITA WAKAANZA, HATA BILA KUJIPANGA KWA HOJA.
 
Sijasema bunge kutoa pressure. Nimemaanisha kama kutakuwa na wabunge wa upinzani bungeni na kutoa pressure ndani ya bunge na uku nje kukiwa na pressure inaweza ikasaidia sana upatikanaji wa hiyo katiba kwa haraka

Katibu wa bunge na spika ndio wanaamua hoja gani ijadiliwe bungeni. Kama wanazuia hoja hiyo hiyo pressure inatokea wapi ndani ya bunge?
 
Je hao wapanga mikakati wa CDM waliofukuzwa huko CDM wamefanikiwa kuipata hiyo katiba mpya? Au wanaweza kudai tu katiba mpya wakiwa CDM?
 
Huwezi kupata Katiba Mpya kabla ya 2025 labda iwe Katiba ya Viraka
Na huu ndiyo ukweli! Nakumbuka Slaa aliahidi katiba mpya itapatikana ndani ya siku 100 ile 2010 akigombea urais, na wanaCHADEMA wakamuamini, hizi siasa shida sana! Katiba mpya ndani ya siku 100!!!!!
 
Je hao wapanga mikakati wa CDM waliofukuzwa huko CDM wamefanikiwa kuipata hiyo katiba mpya? Au wanaweza kudai tu katiba mpya wakiwa CDM?
Hivi Henje na Lema kwa hulka zao hata hii katiba iliyopo wanaijua?
 
Wewe umeongea Mkuu, katiba mpya haiwezekani kupatikana before 2025! Nini cha kufanya sasa? Kumsusia Samia uchaguzi wa 2024 na 2025?? Ni uamuzi mbaya kwa maslahi ya Taifa, kwa sasa ni kupambana sheria za hovyo za uchaguzi zibadilishwe, huku taratibu za katiba zikiendelea (Which Samia ashasema anataka kulikwamua).
 

Sasa wewe kereng'ende ya chadema yanakuwasha washa vipi? 🤣🤣
 
Na wewe ya akina Samia yanakuwashaje? Maana kila siku kulalamika huku Samia, Samia, just F-off

Wapi ulipoona namlalamikia Samia? Akili yako inakuongoza kwa usahihi? Ushauri wa bure kabla hujachelewa mno:

 
Wapi ulipoona namlalamikia Samia? Akili yako inakuongoza kwa usahihi? Ushauri wa bure kabla hujachelewa mno:

View attachment 2537377
You people are jokers!! Leo hii mnamkaribisha Balozi Slaa kwenye majukwaa yenu kutetea katiba mpya na mnashangilia, miaka 6 iliyopita alikuwa wapi? Jokers
 
2025 Mungu akijaalia tutafanya uchaguzi kabla ya Katiba mpya ila yatafanyika marekebisho kadhaa kwny Katiba ya sasa
 
Kaa kwa kutulia wewe jamaa, atachoamua Mbowe nyinyi visisimizi hamuwezi kupinga! Akiamua kushiriki uchaguzi 24 and 25 bila katiba mpya mtapiga makofi na kukenua! Akiamua kumpigia kampeni Samia 2025 bado mtaendelea kumsifia na kumpigia magoti, shortly Mbowe ni kila kitu ndani ya chama chenu, Alpha and Omega
 

"Chawa ni wadudu wanaopatikana kwenye uchafu. Ni wenye harufu kali. Chawa ni machukizo CHADEMA." --- TAL.
 
Iwapo Chadema itashiriki uchaguzi wa 2025 bila katiba mpya basi survival yake itategemea na huruma ya CCM baada ya hapo. Iwapo CCM watawachezea rafu tena ktk uchaguzi huo, Chadema hawatopata wananchi wa kuwafuta machozi, tena wananchi watawadharau, na utakuwa mwanzo wa mserereko wa chama hicho kukosa imani ktk chochote watakachokuwa wanasema kuwa wanakipigania.
 
Kilio cha 2020 sio hoja ya kuibiwa kura maana hicho ni kilio cha Siku zote tangu 1995

kelele zilikuwa kubwa kwa kuwa Viongozi wakuu wa Upinzani kina Zitto na Mbowe, sijui lema wote walilambwa mkono, ingetokea wao wangepataubunge usingesikia kelele kwa ukubwa huu
 
Kweli aisee, na CCM watakuwa wamejifunza. Wakitaka kuwaibia wapinzani watahakikisha wanaibia wengine halafu vinara wachache wanapewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…