Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

Wasanii wa bongo kwanza wengi hawaendi kwenye vikao,na mishe kama hizo nyingi Steve ameingia baada ya kuona wasanii wanajivuta yeye anajichomeka kushtuka kumbe ni fursa kwa jamaa
Wasanii wengi chenga sana.. acha Steve awanyooshe
 
Hiv hizi mambo za vyama hata Marekani zipo, wakina nani kule ulaya wanahudhuriaga hivi vikao
 
Msanii mwenye akili saizi anaendelea na mambo yake tu
 
Kwa hiyo Steve Nyerere ndio msemaji wa wasanii?

Kazi ya kukusanya rambirambi na kuzitafuna atamuachia nani?

Tuache utani kabisa.
Mkuu,kitu gani unaona hakipo sawa kwa Steve kua msemaji wa wasanii?
Weka hoja yako hapo ili tuijadili.
 
Swadakita kabisa lakini kuna wengine hapo wanaweza kuwa bora kwa mitazamo ya Watu lakini wao binafsi wakabolonga.

Sema Steve Nyerere kashaingia gundu kwa watu wengi na ndio sababu ya hayo yote.

Mkuu, yeyote hata mwenye IQ number ya kiatu anachovaa ni bora katika hili zaidi ya Steve Nyerere.
 
Tid?

Acha utani bwashee!
 
lingekuwa bifu kbsa
 
Tivu ametisha amemtandika FA za mbavu
 


Ni vema tukamfahamu mtu huyo na cheo chake, huenda tutafahamu pia vigezo alivyotumia, na bila shaka tutaijua hata akili yake ilivyo.

Ni aibu sana kuteua mtu asiye na vigezo na anayepingwa na watu wote, Je huyu mteuaji alilenga nini kuteua mtu asiyetakiwa hata kwao?


Kwanini tunatengeneza migogoro ya kijinga isiyo na tija yoyote?
 
Kumjadili mjinga na wajinga wenzake walimchagua ni kupoteza muda, tuna mambo mengi ya kufanya, jamaa hata hajui muziki ukoje mbali ya kuigiza sauti ya baba wa taifa hana kingine kipya zaidi ya kuishi mjini kwa kujikomba na kujipendekezakwa wanasiasa, kufanya ukuwadi kwa pisi za bongo movie, zaidi ya hapo hana kazi yoyote inayomuweka mjini ,sana sana anakuwa mweka hazina asiye rasmi wa misiba ya nyota wa filamu. Kajitu ka hovyo sana haka kajamaa na kana jiona kana connection ya kuingia na kuonana na vigogo wa kisiasa mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…