Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Oya hadi yuko radhi kwenda mahakamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya hadi yuko radhi kwenda mahakamani?
Wasanii wengi chenga sana.. acha Steve awanyoosheWasanii wa bongo kwanza wengi hawaendi kwenye vikao,na mishe kama hizo nyingi Steve ameingia baada ya kuona wasanii wanajivuta yeye anajichomeka kushtuka kumbe ni fursa kwa jamaa
Rais wa shirikisho[emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2160223
Mkuu,kitu gani unaona hakipo sawa kwa Steve kua msemaji wa wasanii?Kwa hiyo Steve Nyerere ndio msemaji wa wasanii?
Kazi ya kukusanya rambirambi na kuzitafuna atamuachia nani?
Tuache utani kabisa.
Swadakita kabisa lakini kuna wengine hapo wanaweza kuwa bora kwa mitazamo ya Watu lakini wao binafsi wakabolonga.
Sema Steve Nyerere kashaingia gundu kwa watu wengi na ndio sababu ya hayo yote.
Tid?Binafsi naona msemaji ni bora angekuwa ashawahi kujihusisha na mziki, ingependeza awe Mike tee, Tid, P funk, Master J, lady jay dee, Enika, n.k.
Huyu Steve hapana kwakweli, njaa kali sana hadi ikafika kipindi kila msiba ukitokea anajipa cheo cha kukusanya rambi rambi, pia ni mtu ambae hupenda kutumia watu kama ngazi.
fid q nae alteuliwa tu mzee kuna watu ambao wako juuFid Q ana cheo kikubwa cha kuwa katibu mkuu hilo shirikisho, acha kumfnya aonekane kama ana cheo cha kawaida.
lingekuwa bifu kbsaFareed Kubanda kaonyesha maturity na leadership skill ya hali ya juu kwenye hii situation.
1. Collective responsibility
2. Utulivu na usikivu
Angeweza ku-dictate kila kitu lakini anapokea mawazo ya watu nakuyafanyia kazi bila kuchukulia personal.
Big up sana Ngosha kwa ilo, ingekuwa wasanii wengine navyowajua pangenuka haswa.
Tivu ametisha amemtandika FA za mbavu
Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini.
Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji.
Wasanii Wameonekana kutokua na imani na Steve kwa kigezo kuwa Haujui Muziki wa Tanzania na nafasi hiyo inamfaa mtu ambae yupo relevant na Muziki,
Wasanii waliopinga ni pamoja na Nay Wa Mitego, Diamond, Wakazi, Adam Mchomvu, Q Chief, Afande Sele, n.k
Imependekezwa Mchakato Urudiwe ili apatikane mtu sahihi wa kuwasemea wanamuziki
usahihi wake ni upi ?yuko sahiii
Kumjadili mjinga na wajinga wenzake walimchagua ni kupoteza muda, tuna mambo mengi ya kufanya, jamaa hata hajui muziki ukoje mbali ya kuigiza sauti ya baba wa taifa hana kingine kipya zaidi ya kuishi mjini kwa kujikomba na kujipendekezakwa wanasiasa, kufanya ukuwadi kwa pisi za bongo movie, zaidi ya hapo hana kazi yoyote inayomuweka mjini ,sana sana anakuwa mweka hazina asiye rasmi wa misiba ya nyota wa filamu. Kajitu ka hovyo sana haka kajamaa na kana jiona kana connection ya kuingia na kuonana na vigogo wa kisiasa mbalimbaliView attachment 2161034
Ni vema tukamfahamu mtu huyo na cheo chake , huenda tutafahamu pia vigezo alivyotumia , na bila shaka tutaijua hata akili yake ilivyo .
Ni aibu sana kuteua mtu asiye na vigezo na anayepingwa na watu wote , Je huyu mteuaji alilenga nini kuteua mtu asiyetakiwa hata kwao ?
Kwanini tunatengeneza migogoro ya kijinga isiyo na tija yoyote ?