Wasichana wengi mitandaoni njaa, ukimcheki tu anakulilia shida

Nooo sikumblock mimi na aliblock yeye na labda aliofia ntamuanzishia status, wakati sina hizo tabia kabisa
Ooh. Ameshajua siku hizi baadhi wanaume hawana vifua vya kuhifadhi jambo hivyo akaamua kujiongeza.

Kumbe hajakujua kwamba best we mzungu unamnyima halafu maisha yanaendelea. [emoji2]
 
Wakaka wakware tuwe makini unaeza kudhani unachat na mdada kumbe ni dume hilo.

Saiv kuna wakaka kibao huko mitandaoni wanakula vichwa kwa profile zenye picha za kinadada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh. Ameshajua siku hizi baadhi wanaume hawana vifua vya kuhifadhi jambo hivyo akaamua kujiongeza.

Kumbe hajakujua kwamba best we mzungu unamnyima halafu maisha yanaendelea. [emoji2]
Ni mrembo sana tu na ni mfanyakazi na alijua ntapiga mascreen shot nipost but tabia za kijinga uwaga sina hizo
 
Hahahahaha utanisaidia dada ake au ndio utapita kama hunioni???

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Ntakusaidia mdogo wangu na haijawahi tokea dada mie nikamuacha mdogo wangu.

Mzima lakini?
 
Ntakusaidia mdogo wangu na haijawahi tokea dada mie nikamuacha mdogo wangu.

Mzima lakini?
Mie mzima wa afyaaaa,
Vipi weekend lakini.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Mie mzima wa afyaaaa,
Vipi weekend lakini.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Namshukuru mungu inakwenda vizuri nipo nyumbani naimalizia malizia mdogo wangu.

Japokuwa najua mdogo wangu kwa upande wako ndio kwanza unawaza pa kwenda kuimalizia jumapili yako
 
Namshukuru mungu inakwenda vizuri nipo nyumbani naimalizia malizia mdogo wangu.

Japokuwa najua mdogo wangu kwa upande wako ndio kwanza unawaza pa kwenda kuimalizia jumapili yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me sio mtu wa mitoko dada hua natoka kwa sababu.... most of the time nakua tu home watching movies with friends or alone baasi tu.

Mualiko wa biriani veeeep.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Kama hivyo hapo sawa mdogo wangu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikajua ushasahau mdogo wangu kumbe bado nakukaribisha sana sana sana.
 
We unasema 10,000! Chipsi kuku na soda unatoboa mboga, yaani wallah kipindi hiki kama hujaitwa mume basi una gundu, yaani unakutana na mtu sasa hivi jioni unasikia mume upo wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23] mie ntakuwa na gundu sijawahi itwa mume[emoji13]
 
Kama hivyo hapo sawa mdogo wangu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikajua ushasahau mdogo wangu kumbe bado nakukaribisha sana sana sana.
Najaaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Umekomaaa now bigup[emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…