Wasukuma punguzeni huu ulaji wa chakula kingi namna hii

Babu walizalisha watoto 12 lakino waliachia wake zao wawalee kwa kukatia kila mmoja shamba na kuwapa ng'ombe. Wengine wakarogana, watoto wengine wakakosa privilege ya kusomeshwa kisa wa kike, sasa saivi tunataka kuwaiga huku 20X20 unanunua milioni 10 na Dar sijui bei gani.
 
Binafsi isingekuwa haya maisha ya Kisasa na kufata mambo ya Dini ya Mke mmoja, ningeshakuwa na Watoto 20 saivi

Ukienda Vijijini unauziwa ekari 50 Kwa shilingi milioni 2.5 tu, wastani wa ekari Moja shilingi 50,000

Hapo ukijenga yale maboma kila Mke na boma lake, Kila boma umefunga Umeme wa Solar kwaajili ya mwanga

Wakati huo umenunua majembe ya kuvutwa na ng'ombe, ni mwendo wa kulima tu

Chakula hakikauki ndani, magunia na magunia

Siku hizi Elimu ni bure, watasoma kuanzia Shule ya msingi hadi wanafika Chuo Kikuu ambapo wanakutana na boom la Serikali
 
We inakuathirije katika shughuli zako Kila siku za kutafuta mkate???
 
Aisee hadi mimi nilishangaa kuona binti mdogo tu ameshusha mzigo mithiri ya gogo asee😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…