Wasukuma punguzeni huu ulaji wa chakula kingi namna hii

TUACHE na appetite zetu! πŸ‘ΊπŸ˜ πŸ˜‘πŸ˜€
 
Usiwashangae kula, sema Ma shaa Allah.


Sasa ngoja ukutane na kunya yao, hapo kama hukushangaa tutakushangaa wewe.
 
Sawa
 
We umesema ilikuwa nguna ya watu wa watatu ukashiba ukawaacha wenzako.

Sasa hapo shida iko wapi. Nilkdhani nguna ya watu kumi ililiwa na watu watatu.
Hujanielewa,ile nguna ilitakiwa iliwe na watu zaidi ya watatu maana ilikua kubwa kwenye sufuria.
 
Ugali mkubwaaaa, na samaki mbichi mkubwaaa weee hapo hunitoi nakula mpaka mwili mzima unalowa jasho,
Obhise abhasukuma aha malya tutogohaga gete, bhebhe kolya kwa mpanga,
Naheneeee...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
kwamba tuameanza juzi kula chakula kingi?

Hapana.
Endeleeni kutifua .
Endeleeni kula chakula Kingi na ugali mgumu kama jiwe kana kwamba life style ile ya zamani bado iko vile vile.
Kana kwamba bado mnaenda kuchota maji visimani kilomita nyingi wakati wa kwenda na kurejea nyimbani /mtoni mbali kilomita nyingi kwa mwendo wa miguu,
Kana kwamba mnaenda kuokota kuni mbali porini kwa mwendo wa miguu ,
Kana kwamba mnaenda kuchunga mifugo mbali kwa miguu,
Kana kwamba mkienda kusalimia ndugu mna tembea kwa miguu mwendo wa mbali.
N.k

Mnakula jasho lenu wenyewe hakuna wa kuwagomba.
Kuleni tani zenu.

Ushauri unahiyari ya kuupokea au kuupuzia.

Isipokuwa hakuna anaeweza kuepuka consequences ya maamuzi anayofanya.
Nature is ordered always.

Alamsiki.
 
Ugali utaendelea kupigwa kama kawaida.
 
Kwa kula huko tena ugali akili watazisikia kwa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…