Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

Niwe muwazi kabisa wiki 9 na siku 3 zilizopita nilikuwa hata simfahamu huyu bibie kwa maana sijawahi hata kumuona ,nimemfahamu tarehe 24 desemba tarehe 28 tukanyanduana
Mkuu ndio maana nimesema uende ukapewe maelekezo hospital, utakataa mtoto wako bure. Kwenye vipimo kuna umri wa kiumbe na umri wa mimba, hivyo ni vitu viwili tofauti (gestational age na age of the fetus) kawaida kuna tofauti ya wiki mbili (tazama screenshot). Tangu ukutane nae ni wiki saba na siku tatu, ndio maana umeambiwa wiki tisa na siku tatu. The kid is yours boss no escaping😆😆😆😆😆😆
 

Attachments

  • Screenshot_20250218-205354_1.jpg
    491.2 KB · Views: 2
Mimba inapinwa depending na siku ya kwanza ya hedhi ya mwisho ndo maana hospitali nyingi utakuta anatumia LMP kumaanisha last menstrual period… mimba ni miezi 9 lakini tunahesabiwa mpaka wiki 40 ili kueradicate zile wiki 2-4 za ovulation after periods (depending na mzunguko wa mtu)
 
hiyo mimba ni yako jamaa angu, kama akili za kuhesabu huna hata chatgpt huijui?
 
Exactly hiki ndio nimemwambia pia, mtoto ni wake asikimbie majukumu 😆😆😆😆
 
Hujaelewa nn sasa hapo?, kwamba mpenzi wako kuwa na ujauzito wa mpenzi wake ndo hujaelewa?
Watoto wa afu 2 mtapigwa sana kujifanya mnaigiza mapenzi ya movie za kihindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…