Mfumo uko Hewani ila Hamna vibali hapo labda jioni ya Leo wataendelea kutoa REJECTEDKwanzia jana usiku kipnegele cha Transfer kwenye ess kiko busy naona Utumishi wanapakia vibali/ barua za uhamisho hivyo uwe mpole muda wowote utaingia tena utaona, hutakiwi ukiingia usione ombi lako, lazima uone liko level gani limefika.
Mfumo uko Hewani ila Hamna vibali hapo labda jioni ya Leo wataendelea kutoa REJECTED
Sawa mkuu, ila kwa shuhuda za hapa Toka Mwezi September watu wengi wanakula za uso tu. Wengine wanashangaa hata sababu za rejected hawazijuiNi kweli mkuu, ondoa dhana za kukataliwa akilini. Fikiria majibu positive na inakua hivyo, ukijinenea mema ni bora zaidi kuliko mabaya.
Kuna mtu aliongea point hapo nyuma wengi wanaanzisha transfer bila kucheza ground kwanza na kumaliza ndipo uingie kwenye mfumo. Mwisho wa siku wanakutana na reject
Sawa mkuu, ila kwa shuhuda za hapa Toka Mwezi September watu wengi wanakula za uso tu. Wengine wanashangaa hata sababu za rejected hawazijui
Haya hebu tuone,Me na ushuhuda ambao ni positive kabisa, kama nivosema apo juu watu kabla hawajaomba vacancy wanatakiwa mechi wawe wamemaliza kuanzia anakotoka hadi anakopokelewaa, zile comment za walee DGs ni very important kwenye ku escalade transfer yako utumishi.
Unatuma transfer mkurugenzi wako hajui, ana accept ana comment utovu wa nidhamu au utoro kwakua kakubamisha kituo unataka kuhama, haya destination point ana accept anasema bajeti haiko labda kwa miaka ijayo. Utumishi ikifika kwao wao wana reject tuu bila shida
Ila uzuri wa Destination kama hawakuyaki SI wanasemaMe na ushuhuda ambao ni positive kabisa, kama nivosema apo juu watu kabla hawajaomba vacancy wanatakiwa mechi wawe wamemaliza kuanzia anakotoka hadi anakopokelewaa, zile comment za walee DGs ni very important kwenye ku escalade transfer yako utumishi.
Unatuma transfer mkurugenzi wako hajui, ana accept ana comment utovu wa nidhamu au utoro kwakua kakubamisha kituo unataka kuhama, haya destination point ana accept anasema bajeti haiko labda kwa miaka ijayo. Utumishi ikifika kwao wao wana reject tuu bila shida
Ila uzuri wa Destination kama hawakuyaki SI wanasema
Haya hebu tuone,
Wewe yako Iko UTUMISHI..?
Ombi lako lilikaa muda gani Utumishi..?Nilisha maliza kitambo na uhamisho nkapata mkuu.. taasisi moja hivi nzuri tuu
We jamaa unaongea sana. Watu humu wana akili na wanajua wanachofanya kitu pekee hawana ni connection.Me na ushuhuda ambao ni positive kabisa, kama nivosema apo juu watu kabla hawajaomba vacancy wanatakiwa mechi wawe wamemaliza kuanzia anakotoka hadi anakopokelewaa, zile comment za walee DGs ni very important kwenye ku escalade transfer yako utumishi.
Unatuma transfer mkurugenzi wako hajui, ana accept ana comment utovu wa nidhamu au utoro kwakua kakubamisha kituo unataka kuhama, haya destination point ana accept anasema bajeti haiko labda kwa miaka ijayo. Utumishi ikifika kwao wao wana reject tuu bila shida
We jamaa unaongea sana. Watu humu wana akili na wanajua wanachofanya kitu pekee hawana ni connection.
Sasa nani anaweza kuendelea na transfer request kama destination hawana budget au wamecomment negative.
Kwenye vacancy request ukianza tu haitoka had mkuu wako apitishe ,na ikifika organization unayooenda inakaa had Hr apitishe afu ikitokea mkuu wa taassi hajapitisha ndio itakuw aauto accepted ndan ya ten days,ila kama hr asipopitsha katika ile tassi itakaa sana haisogei kabisa hata mieze miwiliMwajiri wako anataarifa zako kwamba unahama? Kama hana nenda mwambie na mshirikishe, anakupitishia kama sio mwenye shida. Ila ndani ya siku 10 asipo itoa itaondoka automatically approved kwenda kwenye taasisi unayohamia..
Kama kapitisha itaonesha ipo kwneye hio instituition unayotaka amia.Niliomba tarehe 22/10/2026 vacancy transfer ikawa ipo kwa mwajiri wangu. Leo nimeingia siioni. Maana yake kashaipitisha na imeenda kwenye taasisi nyingine? Nitajuaje kama alikubali au kakataa? coz kwangu haipo tena
Kama kapitisha itaonesha ipo kwneye hio instituition unayotaka amia.
Sasa hapo pana ni Nini, mbona hakuna comment yoyote..Ataona kitu kama hicho, na hapa ndio kwenye point muhimu, ukiona utumishi wame reject ni kwasbabu ya comment za hapa
Sasa hapo pana ni Nini, mbona hakuna comment yoyote..
Hiyo mbona inaonesha dhahiri kuwa muhusika ndiyo umeicrop hiyo picha sio vizuri kuwapa mzigo usiowahusu JFItaonekana tuu, attachment zozote za picha naona sheria za JF hadi waverify maudhui yake kama ya elimu au lah ndipo waruhusu!
Uko sahihi mkuu mimi nilibahatika kupa nafas sehemu mbili tofaut ndan ya miaka tofauti ila nilipoandika barua mkurugenz wangu alicomment tuna upungufu wa staff haswa kwenye kada yangu, na kipind hicho ni mambo ya hard copy, je kama ingekuwa kwenye mfumo ningeishia kuwalaumi utumishi kumbe wao wako fair sana hawajah mkatalia mtu kama ametimiza vigezo na comment zote ziko poa.... so paka leo sijabahatika kuhamaKama ulishawahi kuona hizo comment negative ni sawa mkuu, au kama kuna ambae alishafanya transfer akaona kilochoandikwa na DG kwenda anakoenda nisawa sio kwa ubaya chief
Uko sahihi mkuu mimi nilibahatika kupa nafas sehemu mbili tofaut ndan ya miaka tofauti ila nilipoandika barua mkurugenz wangu alicomment tuna upungufu wa staff haswa kwenye kada yangu, na kipind hicho ni mambo ya hard copy, je kama ingekuwa kwenye mfumo ningeishia kuwalaumi utumishi kumbe wao wako fair sana hawajah mkatalia mtu kama ametimiza vigezo na comment zote ziko poa.... so paka leo sijabahatika kuhama