Endelea Kamanda hiyo itajuana mbele kwa mbele.Vacancy imepita outo baada ya siku 10 za kule utumishi, naomba ushauri nisubmit iende utumishi au ni withdraw nianze upya?
Njoo PM nikupe mbinuNOT BUDGETED 😭😭😭nani wa kunivusha mie mwana wa maskini jamani
Share code hio MkuuNjoo PM nikupe mbinu
Lini hiyo?NOT BUDGETED 😭😭😭nani wa kunivusha mie mwana wa maskini jamani
Endelea Kamanda hiyo itajuana mbele kwa mbele.
Tuma screenshot tuone maana Kuna watu humu walisema auto imeondolewa
Lini hiyo?
Njoo PM nikupe mbinu
Nimeendelea, kwa sasa status inasoma Supervisor, ni supervisor wa taasisi niliyopo?Endelea Kamanda hiyo itajuana mbele kwa mbele.
Tuma screenshot tuone maana Kuna watu humu walisema auto imeondolewa
Nisha-initiate, hivi bado ombi limebaki pia tantrade? Je wanaweza kulifanyia kazi hata likiwa limeshasonga mbele?
Iliyopo, mwambie apitisheNimeendelea, kwa sasa status inasoma Supervisor, ni supervisor wa taasisi niliyopo?
nakushauri ondoa ombi kaka auto accept ni janga tuNisha-initiate, hivi bado ombi limebaki pia tantrade? Je wanaweza kulifanyia kazi hata likiwa limeshasonga mbele?
Acha mzigo utembee wapo waliopitishiwa kwa comments kutoka kwa destination na bado wakapata reject. Kimsingi ombi lako tu kufika utumishi ni mafanikio watu kibao wanaishia huku hatua za awali za vacancy not budgeted, Vacancy filled na vikwazo kibao. Ko acha mzigo mzigo ufike utumishi iyo auto haipo hapo kwa bahati mbaya.nakushauri ondoa ombi kaka auto accept ni janga tu
NakubaliAcha mzigo utembee wapo waliopitishiwa kwa comments kutoka kwa destination na bado wakapata reject. Kimsingi ombi lako tu kufika utumishi ni mafanikio watu kibao wanaishia huku hatua za awali za vacancy not budgeted, Vacancy filled na vikwazo kibao. Ko acha mzigo mzigo ufike utumishi iyo auto haipo hapo kwa bahati mbaya.
Endelea tu mkuu chochote kinaweza kutokea hauna cha kupoteza hapo.
Sema hio reason ya to pursue new challenge mimi binafsi sasa hivi naiona ni nyepesi sana.. baada ya utumishi kunilamba rejected pamoja na kuweka magamba mazito mazito😃, sasa hivi nawe medical condition afu ni kufoji tu documents.
Unaweka report ya daktar mpaka wenyewe wakiona wanasema huyu atakufa week ijayo hebu tumuache aende akatibiwe 😄
Medical condition nahisi hata negative comments za wakurugenzi zinakosa nguvu.

Haya mambo ndugu hayana formula,zaidi ni kumuomba Mungu na nafsi yako ibebe imani na kuamini jambo linawezekana. Kila kitu kipo hapo wao walioweka wanajua uzito wa sababu husika. Mimi niliweka hiyo reason ya kutafuta changamoto mpya na walinipa kibali.Endelea tu mkuu chochote kinaweza kutokea hauna cha kupoteza hapo.