HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nakubali mkuu, Kuna watu tumeomba nao JULY tayari wameshatembea. Kwa mantiki hiyo nitashindwa kuwa na Wenge..!!
Hawa UTUMISHI wangeweka sign yoyotekuonesha kibali kinakaribia kutoka

Hii Weekend nani kapata kibali jamani au weekend hawatoi..?
Mimi kwa uchunguzi wangu binafsi,nimebaini vibali vinatolewa kwa first in first out(na wanajitahidi ndani ya miezi mitatu),lakini pia nadhani taasisi unayokwenda inaweza kuomba kwa KM kuharakishiwa kupelekewa mtumishi. Hili niligundua siku ambayo watu wawili kwa pamoja ninaowajua kupata kibali kwenda taasisi moja ndani ya muda mfupi na waliomba siku tofauti na wakiwa hawajuani. Na pia nimelifuatilia kwa muda mrefu.
 
Hivi kuna mtu ana experience kwamba Taasisi unayotaka kuhamia wakubali kwenye Vacabcy Request halafu UTUMISHI wakatae?
Mwenye experiemce msaada
 
Yes inawezekana
 
Sawa mkuu, Ila hii FIFO yao ina walakini kidogo. Kana mpambanaji mwezangu ombi lake lilifika Utumishi 21 June, Bado anasugua kama Mimi wa July. Wiki hii watu wa JULY wengi wametoboa wengine Bado.
Yule Uhamisho_ amejibiwa tarei 31 August lakini ombi lilifika 31 July..

Hebu tuone hii wiki, usijekuta wakatoka wa August wa JULY wanasubiri
 
Nenda ofisi za tasisis za elimu ya wTy watu wazima anza kumuona mkuu wa idara husika wanahitaji sana wty hawa jamaa
Ndo niende makao makuuyao au hata nikiwatumia hawa wakufunzi wakazi wa mikoani(centers)
 
Ivi wakuu kuna jamaa nilianza mchakato wa kubadilisha nae ikafika hatua hiyo lakini alighairi nimepata wa kubadilishana nae mwingine lakini wananiambia haiwezekani niko na pending request sehemu ya kudelete haipo tunafanyaje hapo.
Gusa hayo maneno ya blue "Transfer request" utakuja ukurasa ambao kwa chini kabisa utakuwa na maneno ya rangi nyekundu "withdraw request" gusa hayo maneno then fanya utakachoelekezwa,hapo utakuwa umefanikiwa kufuta ombi lako. Jaribu hilo.
 
Ivi wakuu kuna jamaa nilianza mchakato wa kubadilisha nae ikafika hatua hiyo lakini alighairi nimepata wa kubadilishana nae mwingine lakini wananiambia haiwezekani niko na pending request sehemu ya kudelete haipo tunafanyaje hapo.
Kwenye sehemu ya Uhamisho/Transfer kule ESS, Kuna option kama nne (Maombi ya Kuhama, Maombi ya Kupata Nafasi ya Kuhamia, Maombi Mapya ya Kubadirishana na Maombi yangu ya Kubadirishana)

Wewe hapo kati ya hayo ya Kubadirishana Kuna Moja utaona kina namba 1 mengine ya namba 0.

Gusa kwenye Hilo lenye namba 1, Kisha angalia sehemu iliyoandikwa ghairi au cancel (Huwa ina maandishi mekundu), hapo utatakiwa kuweka sababu kwanini unaghairi hayo maombi. Sababu utasema hiyo uliotushirikisha hapo. Kisha utakua umefuta hili ombi, ndio mfumo unakueuhusu kuendelea na ombi jipya, mfumo hauruhusu okbi zaid ya Moja kufanyika, mpaka liishe lililoanza au likatishwe.
 

Attachments

  • Screenshot_20260906-003759.png
    110.7 KB · Views: 13
Uhamisho ulikua FEKI. Huwezi kuhamisha taarifa kwenye HCMIS kabla hajathibitishwa.
 
Mkuu embu nenda Sumbawanga nasikia kuna waganga wazuri usikae kinyonge.

Wamekufanyia roho mbaya sana kumamae'

HAKUNA HAJA KWA SASA NAWAPA MWAKA MMOJA MBELE, BAADA YA HAPO NASTAAFU KAZI ZAO ZA UTUMISHI ILI NIKAJIIMARISHE KWENYE BIASHARA ZANGU WABAKI NA HUO USENGEREMA WAO WA KUHAMISHA WATU TAASISI ZENYE HELA NA KUWAPELEKA HALMASHAURI ILI WAPACHIKE WATOTO WAO NA NDUGU ZAO

HUYU KM-UTUMISHI HATA AKIFA LEO HAKIKA NITAKUNYWA BEER INGAWA MIMI SIYO MLEVI KUMAMAE ZAKE
 
Sema huu uhamisho wko ni mtu kwny tasisi yko ndo kauchezeshe
 
Kwa kweli
 
Gusa hayo maneno ya blue "Transfer request" utakuja ukurasa ambao kwa chini kabisa utakuwa na maneno ya rangi nyekundu "withdraw request" gusa hayo maneno then fanya utakachoelekezwa,hapo utakuwa umefanikiwa kufuta ombi lako. Jaribu hilo.
OK sasa naomba unisaidie jambo moja endpoint mimi nikiendea na mchakato, maana nikigusa hayo maneno ya blue inaleta transfer request kwenye normal nikiendelea na mchakato, na halmashauri yangu wakapitisha kila kitu je Kibali ninaweza kukipata?
 
OK sasa naomba unisaidie jambo moja endpoint mimi nikiendea na mchakato, maana nikigusa hayo maneno ya blue inaleta transfer request kwenye normal nikiendelea na mchakato, na halmashauri yangu wakapitisha kila kitu je Kibali ninaweza kukipata
 
Taratibu Mkuu wasije wakatufutia Uzi wetu, kama kuna matumizi ya Abuse language basi iondolewe hiyo au wadeal na muhusika. Uzi wetu watuachie kwani unatusaidia kupeana updates Wapambanaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…