Vaa viatu vyake kaka.Duuh huu uzi hapana kwa kweli. Moderators huu uzi unaanza kuchefua kuna matumizi ya maneno makali yanayochefua wengine kinyume na sera zenu. Hebu futeni hayo maneno mabaya aisee tuendelee kujadili kwa amani.
Maxence Melo Fang Active Paw Boqin Bridger celix hebu angalieni comments no. 341, 342 and 343 na nyingine za namna hiyo.
Hii kutapeliwa kumo sana tu.Watumishi tafuteni connection, ukiwa na connectiion hutahangaika na mifumo. Barua inakufuata ulipo.
Mkuu Pole sana, Mbona serikali huwa haibadilishi mshahara wa mtu? labda kama ulipata demotion,NDIYO maana NASEMA huyu KM-UTUMISHI ni KUMANYOKORO na MUSENGEREMA SANA.
UNANIAMISHA KUTOKA TAASISI NALIPWA ALLOWANCES MILIONI 2-3 UNANIPELEKA HALMASHAURI YENYE MSHAHARA MDOGO MARA TATU NILIYOKUWA NALIPWA HALAFU HAKUNA ALLOWANCES NA UNAKAA MIEZI 7 SASA HAKUNA MSHAHARA UNAOLIPWA WALA POSHO YA SAFARI ULIYOLIPWA.
KUMAMAYO KM-UTUMISHI
Acha tu .NDIYO maana NASEMA huyu KM-UTUMISHI ni KUMANYOKORO na MUSENGEREMA SANA.
UNANIAMISHA KUTOKA TAASISI NALIPWA ALLOWANCES MILIONI 2-3 UNANIPELEKA HALMASHAURI YENYE MSHAHARA MDOGO MARA TATU NILIYOKUWA NALIPWA HALAFU HAKUNA ALLOWANCES NA UNAKAA MIEZI 7 SASA HAKUNA MSHAHARA UNAOLIPWA WALA POSHO YA SAFARI ULIYOLIPWA.
KUMAMAYO KM-UTUMISHI
Kuna sehemu kufanya kazi ni hasara , watu wlishakuwa na malengo yao ..Usiombe , umefanya kazi kwenye taasisi ya juu kam TCRA kwa competition ile mpaka unapata na kulamba asali , mtu anakuhamisha kukupeleka halmashauri ambayo hata mafunzo hakuna , posho hakuna ila Mkurugenzi anazipigaMkuu Pole sana, Mbona serikali huwa haibadilishi mshahara wa mtu? labda kama ulipata demotion,
Ila kama ni uhamisho utakosa hizo posho tu, mshahara wako unabaki ule ule.
Sahihi kabisa Tanga boy, siku izi maisha ni survive for the fittest.Kuna sehemu kufanya kazi ni hasara , watu wlishakuwa na malengo yao ..Usiombe , umefanya kazi kwenye taasisi ya juu kam TCRA kwa competition ile mpaka unapata na kulamba asali , mtu anakuhamisha kukupeleka halmashauri ambayo hata mafunzo hakuna , posho hakuna ila Mkurugenzi anazipiga
Uzuri unaowatukana wamu humu kwaiyo Wala usijali ujumbe wako umefika.SAWA MKUNDURU WAKO, PIA HAWAJAKOSEA KUTOKUNILIPA STAHIKI ZANGU ZA UHAMISHO PIA HAWAJAKOSEA KUNILIPA MSHAHARA WANGU WA MIEZI TAKRIBANI NANE NINAOWADAI, PIA HAWAJAKOSEA KUNIKOSESHA ALLOWANCES ZANGU ZA 2.5 MILIONI ZA KILA MWEZI
MKUNDURU WAKO WEWE NA HAO UTUMISHI
Kama wapo humu basi huyu kinondoniilala aache kuendelea kuwatusi maana wanaweza kununa wakashindwa kutoa vibali vyetu ikatudhuru na sis tusiokuwa na hatia😁Uzuri unaowatukana wamu humu kwaiyo Wala usijali ujumbe wako umefika.
hahhahahaa kabisaKama wapo humu basi huyu kinondoniilala aache kuendelea kuwatusi maana wanaweza kununa wakashindwa kutoa vibali vyetu ikatudhuru na sis tusiokuwa na hatia😁
UTUMISHI nawakubali sana endeleeni kumwaga vibali, Naamini hii wiki mtanifikia
Inshallah 🙏
Mzee unahamia taasisi au wizara?Kama wapo humu basi huyu kinondoniilala aache kuendelea kuwatusi maana wanaweza kununa wakashindwa kutoa vibali vyetu ikatudhuru na sis tusiokuwa na hatia😁
UTUMISHI nawakubali sana endeleeni kumwaga vibali, Naamini hii wiki mtanifikia
Inshallah 🙏
Mzee unahamia taasisi au wizara?
Nimevaa viatu vyake na nampa pole sana. Sasa KM Utumishi anasoma huu uzi? Kwanini asimfuate Mtumba akamtukane vizuri pale. Sasa sisi haya matusi yanatusaidia nini hapa jamvini. Mkuu wewe unajua kwanini amehamishiwa Halmashauri? Please think.Vaa viatu vyake kaka.
Wewe haupo TAMISEMI ndiyo sababu haumuelewi jamaa
Ah 😅 we jamaa kumbe upo taasisi tayari na bado unaona siyo ishuNatoka Taasisi to Taasisi.
Tunabadirisha mazingira si unajua
Nimekuelewa chiefNimevaa viatu vyake na nampa pole sana. Sasa KM Utumishi anasoma huu uzi? Kwanini asimfuate Mtumba akamtukane vizuri pale. Sasa sisi haya matusi yanatusaidia nini hapa jamvini. Mkuu wewe unajua kwanini amehamishiwa Halmashauri? Please think.
Matusi ya nguoni hadharani yanatukera wengine na kumbuka ni kinyume na sera za JamiiForum kwa hiyo bado nasisitiza, sio sawa kutukana matusi mazito kama hayo.
Mkuu elezea zaidi Hili embu!Uhamisho ulikua FEKI. Huwezi kuhamisha taarifa kwenye HCMIS kabla hajathibitishwa.
Wataleta tu na wewe ukipata kibali lete ushuhuda apa mkuuVibali jamani.. mbona hamleta taarifa nyie mnaopata..?
Kwa Uelewa wangu Inawezekana mkuu_ muhim inategemea na nafasi unayotaka kuhamia; mfano kwa nafasi ya Ukufunzi kwa vyuo vya kati kama DIT, GPA Kuanzia 3.5 na kwa vyuo vikuu kwa nafasi ya kuwa Mhadhiri ni 3.8 Lakini katika nafasi ambazo sio za Ufundishaji kama Admission Officer, Quality Assurance na Warden kwa Taasisi za Elimu hazihitaji GPAWakuu nauliza utumishi wanaweza kukuhamisha wenyewe kutoka halmashaur kukupeleka wizarani, vyuoni au taasisi nina GPA sio mbaya