HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hlf kwa jinsi mfumo ulivyo,kama nafasi haiko budgeted au kwa sababu nyingine yeyote inakukatalia mapema kabsaa wakati wa kuomba vacancy request kabla ya hatua inayofuata ya kuinitiate transfer request
Hata kama imepita automatically?
 
Babu jibu umegewa wiki iliyopita hadi leo unajiuliza cha kufanya?

We fanya tu hiyo kuomba transfer mengine yatajulikana mbele
Nilishaomba sikupoteza hata dakika 5 mkuu.

Hapa nimeuliza nikitaka kufahamishwa nimepiga hatua kiasi gani, kama matumaini yapo makubwa, ya wastani au bado zero.
 
Ubaya wa auto unashangaa ukianza pale kwenye transfer inakwambia maybe not budgeted au hakuna nafasi,maana si inakua imepita tu automatically bila kuconfirm kama nafasi kweli ipo.
Na hapo ndipo wasiwasi wangu ulipo
 
Wakuu mimi nataka kujaribu UCSAF au TPDC, yupi yuko vyema zaid kuliko mwenzake...?
 
Wanasiasa ndiyo maamuzi yao , nawachukia vibaya mno.
 
Kutaka kuhamia sio issue mkuu, Issue Kuna nafasi au utakutana na Vacancy not budgeted..?
Nataka kuchagua sehemu moja niwekeze nguvu huko tu kaka, ndio maana nataka kufahamu wapi kuna maslahi mazuri
 
Nataka kuchagua sehemu moja niwekeze nguvu huko tu kaka, ndio maana nataka kufahamu wapi kuna maslahi mazuri
Mimi ningeenda hukohuko TPDC wnakosifia wadau. Sema we jamaa utakuwa una Connection mnato sana isiyoachia kabisa..😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…