HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hao wanaoombewa na taasisi husika ni chap sana. Kuna watu nawajua japo sio ofisini kwetu walisepa ofisini kwao kupitia huo mchakato, wakasepa fast kama upepo
Yes ukiupata mchongo wa hivyo hata hauwi na hizi presha.
 
Unanitia moyo. mimi naenda miezi saba sasa ombi lipo utumishi. Nitafanikiwa tu.
Hivi nawe mkuu ulianza na Vacancy na Bado hujajibiwa..?
Kuna jamaa mmoja alikaa miezi mingi kama wewe alivyopiga simu akaunganishwa na IT, wakaset mitambo wakamuambia aingie kwenye account yake.. Ngoma ikasoma
 
Hivi ilianza barua kwenye ESS au ulipata taarifa kwa mwajiri wako kwanz
Nilipata taarifa kutoka kwa mtu ambae naye ana mtu katika taasisi hiyo. Then nikaandika barua hard copy kuomba hiyo nafasi kisha nikapitisha kwa mwajiri wangu. Waliponijibu ndio nikaendelea na taratibu zingine. Ila nafikiri hii ni ya kizamani zaidi. Sasa wewe omba vacancy request kisha ikikubaliwa unaendelea na taratibu zingine.

Ila mambo ya ess nayo hata hayaeleweki. Kuna mtu yeye alivyoomba vacancy hiyo hiyo ikajibiwa na barua ya kuhama juu.
 
Hello, Hivi barua uliyopokea imeandikwa uhamisho au imeandikwa kuazimwa...? Na barua ilipotoka utumish kwenda ofisin kwenu imechumua mda gan kuhamishiwa taarifa zako kwenda taasisi mpya
Yangu ni ya uhamisho kabisa.
Majibu nilipata July, taarifa zikahamishwa August.
 
Tatizo kuna waajiri hawataki kabisa kupitisha barua za uhamisho hata kama unaomba nafasi tu.

Kongole kwako.
 
Nahisi kama hukumwelewa muuliza swali. Kama nitakuwa sahihi Muuliza swali alitaka kujua kuhusu first info about kibali, kwamba labda kilitangulia kwenye ESS yako, au kule unakohamia walikustua au vipi..?
 

Haya mambo ya uhamisho/vibali yana-touch sana unaweza kusema bora hata aliyejibiwa Kwa wakati akaandikiwa rejected kuliko unayeendelea kusubiri huku hata Ujui lini utajibiwa na utajibiwa Nini..
Tuvute subra tu
 
Kada yenu ina demand kubwa sana
 
Haya mambo ya uhamisho/vibali yana-touch sana unaweza kusema bora hata aliyejibiwa Kwa wakati akaandikiwa rejected kuliko unayeendelea kusubiri huku hata Ujui lini utajibiwa na utajibiwa Nini..
Sure
 
Wadau, Hawa UTUMISHI wamefunga E-Tranfer Leo ijumaa Tena mapema sana, haifunguki kabisa.. Au ndio wanaweka vibali vyetu....?
Kila wiki kuanzia ijumaa Huwa wanafunga na wakirudisha hatukuti hivo vibali
 
Haya mambo ya uhamisho/vibali yana-touch sana unaweza kusema bora hata aliyejibiwa Kwa wakati akaandikiwa rejected kuliko unayeendelea kusubiri huku hata Ujui lini utajibiwa na utajibiwa Nini..
Kwani we ulianza na Vacancy au Direct Transfer???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mwisho wa siku mfumo unatengeneza kibali wenyewe wa kukituma utumishi.
Kwahiyo utatoboa tu brazaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…