Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 387
- 1,094
nafanya side hustles na ndio zinaniweka mjini, ila sasa kuna muda zina peak kuna muda zinakata kabisa....hence ndio sababu yakutafuta taasisi yenye pay nzuri zaidiSide hustle hazibambi??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Changamoto hakunaga taarifa rasmi weng taarifa zao ni za kusikia, so hata ukisema akutajie mshahara wa hiyo taasisi hana taarifa za ukweli, hivyo tunabaki kusema tu kuwa hizi taasisi zinalipa vizuri bila kujua namba halisiKuna mdau alicomment hii kitu sijui ni kweli
Huu mwezi naona unaweza kuisha bila habari njema kwa Wapambanaji..mambo bado ni bila bila ,hakuna kukata tamaa
hapana mambo yatakuwa mazuri tuHuu mwezi naona unaweza kuisha bila habari njema kwa Wapambanaji..
Mkuu unajipa moyo kwenye hamna😁hapana mambo yatakuwa mazuri tu
watu wanapata vibali muda wako utafika tuMkuu unajipa moyo kwenye hamna😁
Mkuu unajipa moyo kwenye hamna😁
Mkuu unajipa moyo kwenye hamna😁
Na wewe unasubiri kibaliKutiana moyo muhimu mkuu
Na wewe unasubiri kibali
July ngapi Mkuu..? Nawe ni Vacancy au normal transfer..?Ndio kaka mzigo upo utumishi tangu July
July ngapi Mkuu..? Nawe ni Vacancy au normal transfer..?
Hatutofautiani sana hizo siku. Halafu hii ya Auto wengi naona wanakuwa na wasiwasi kwani kuna mtu aliwahi kukataliwa kwa kuwa ombi lilienda Auto..?Nilianza na vacancy ika accept auto nikaendelea na kuinitiate now ipo kwa PO-PSMGG UTUMISHI tangu July 20
Hatutofautiani sana hizo siku. Halafu hii ya Auto wengi naona wanakuwa na wasiwasi kwani kuna mtu aliwahi kukataliwa kwa kuwa ombi lilienda Auto..?
Me Huwa nawashangaa Hawa wanaowaza kuhusu Auto.. Yaan mfumo waset wenyewe halafu waje kuwahukumu watumiaji..!!Hawawezi kukataa maana mfumo ndo umesetiwa hivyo na wakuu wa hizo taasisi wameelekezwa usipofanyia kazi na ikaa auto na tasir yake umekubali
Me Huwa nawashangaa Hawa wanaowaza kuhusu Auto.. Yaan mfumo waset wenyewe halafu waje kuwahukumu watumiaji..!!
Japo mwaka jana wamehukumiwa sana watu, eti hawakuweka Halmashauri husika ya kuhamia. Kile kipindi Mfumo ulikuwa unaruhusu kuchagua mikoa tu then wao wanakuchahilia Halmashauri yenye nafasi. Hakukuwa na mambo ya Vacancy not budgeted
Wapo Vizuri sanaaaa brazaaaa.Hivi hawa Planning Commission wapo Vizuri Kweli?