Haya mambo ukiyaona wewe omba tu mkuu. Ukisubiri kuona website tayari watu wamehamia. kama yakigoma napo fresh tu muhimu hujatoa pesa kwenye mchakato.Inshu sio kuupata inshu ulitoka na tangazo gani?mana hata website ya utumishi haupo umetembea tu kwenye ma group ya whatsapp kimya kimya.
Mara nyingi hiyo error hutokana na network, hauchezewi mkuuMfumo umegoma hawa jamaa wanatuchezea kiini macho.
Mara nyingi kwenye mfumo maombi with recategorization zinakuwa rejected maana kuna jamaa ilimkuta hiyo scenario maombi yake yakawa rejectedMfano haya ma mikeka tunayoyaona humu jukwaani anaweza akaomba kuhama iwapo kuna nafasi ya muundo ya kuanzia mfano ECONOMIST II muhimu anaomba WITH RECATEGORIZATION UNATEMBEA MBELE.
inategemeaMara nyingi kwenye mfumo maombi with recategorization zinakuwa rejected maana kuna jamaa ilimkuta hiyo scenario maombi yake yakawa rejected
inategemea
Kuwa REJECTED sababu huwa ni nyingi kwani ili upate kuhama kuna vitu vinaangaliwaMara nyingi kwenye mfumo maombi with recategorization zinakuwa rejected maana kuna jamaa ilimkuta hiyo scenario maombi yake yakawa rejected
yes,hapo kwenye comments za mwajiriKuwa REJECTED sababu huwa ni nyingi kwani ili upate kuhama kuna vitu vinaangaliwa
1. Uzoefu iwapo unahitajika maana RECAT mara nyingi unaenda kuanza mwanzo yaani entry level
2. Idadi ya nafasi
3. Comments za mwajiri wako
Wanakuwaga wachawi sana haoyes,hapo kwenye comments za mwajiri
hapo wanajuaga wenyewe kwa kweli,ila nahisi huyu wa chini akiweka commnets nzuri juu hakuna shidaWanakuwaga wachawi sana hao
Kuna mtu nilimwombea uhamisho ila sasa halmashauri yao inaupungufu wa watu wa kada yake maana ni biomedical engineer. Ikawa inaleta ERROR ya DEFICIT sahizi imeacha tena kuleta hiyo error inaleta process failureMara nyingi hiyo error hutokana na network, hauchezewi mkuu
Btw, Comments kuna wakati hazina maamuzi sana kwa kuwa maana ya mfumo kwa sasa unataka watu watoke wengine waingie hivyo huwezi kumzuia mtu kwa comments zako maana hata katibu mkuu utumishi aliwahi kusema wao huko ndiyo wanajua upungufu wa watumishi kwani takwimu wanazo wao hivyo kama mtu anataka kuhama atahama tu bila kujalisha mwajiri wake anasema nini.hapo wanajuaga wenyewe kwa kweli,ila nahisi huyu wa chini akiweka commnets nzuri juu hakuna shida
Kukiwa na deficit unaambiwa kabisa.Kuna mtu nilimwombea uhamisho ila sasa halmashauri yao inaupungufu wa watu wa kada yake maana ni biomedical engineer. Ikawa inaleta ERROR ya DEFICIT sahizi imeacha tena kuleta hiyo error inaleta process failure
Ni mwaka huu au mwaka gani, alipata kibali lini..?Yawezekana anayo maelekezo hajarisk huyo mbane vizuri akwambie.
Kuna jamaa yangu alichomoka kwa namna hiyo akatuma moja kwa moja NORMAL BILA VACANCY amekaa siku 21 akatembea kibali kikasoma GRANTED na kwenye mkeka ile TAASISI haikuwepo.
Mwaka huu mwezi wa SABA. Alitoka LGA kwenda TAASISI.Ni mwaka huu au mwaka gani, alipata kibali lini..?
Waki-reject wanaweka na sababu kama wanavyowekewa wengine. Je, yeye aliambiwa sababu ni Nini..?Mara nyingi kwenye mfumo maombi with recategorization zinakuwa rejected maana kuna jamaa ilimkuta hiyo scenario maombi yake yakawa rejected
Sasa wewe Afisa usafirishaji wa bodaboda umefata nini kwenye uzi wetu au wewe ni bodaboda wa hapo Halmashauri kuwaisha watumishi kazini basi fanya Recate ili uwe Afisa usafirishaji kwenye hiyo STM ya Halmashauri 😂Hivi mnaongelea nini humu
Tunaona maluweluwe tu sisi bodaboda
Nafijiri sio Taasisi zote zipo kwenye mfumo japo nyingi zipo mfano hutokaa uhame kutoka RRH kwenda RRH kwa mfumo kwanza hata kuipata tu ni kasheshe au kwenda vyuo vya kati wizara ya AfyaTaasisi ipo kwenye mfumo. Kwanza sasa Taasisi nyingi zishawekwa kwenye mfumo hata barua ilitoka Utumishi kuwajulisha waajiri wote kuwa uhamisho ni kwenye mfumo tu.. labda kwenye vyombo vingine ambavyo mambo yao tofauti
Normal transfer hii ambayo watu wanakula rejected Kila siku. Huyo labda alikuwa na mtu Utumishi, ombi likapita chap kama upepoMwaka huu mwezi wa SABA. Alitoka LGA kwenda TAASISI.
RRHs ziko chini ya Wizara, hivyo ukitaka kuhama Moja kwenda nyingine unaomba Wizarani me ndio najuaga hivyo. Mfano, hata hizi hospital za wilaya au Halmashauri za miji zipo chini ya Halmashauri husika. MNH, JKIC, BMH hizi ni Taasisi zinajitegemea na kwenye mfumo zipoNafijiri sio Taasisi zote zipo kwenye mfumo japo nyingi zipo mfano hutokaa uhame kutoka RRH kwenda RRH kwa mfumo kwanza hata kuipata tu ni kasheshe au kwenda vyuo vya kati wizara ya Afya