ErrorTyping
Member
- Feb 13, 2014
- 59
- 42
Yaani issue ya kusubiri kibali ni psychological torture, Sina hamu. Muda wote unalazimika kuwa na bado ili uperuziperuzi mtandaoni kama Kuna jipya. Mie hata mood ya kazi Sina nawaza tu kibali kinatoka lini au la!.
Mkuu sisi wa kusubiri miezi 8 tuseme je? Wote tuwe na subra. Mungu atatenda.Yaani issue ya kusubiri kibali ni psychological torture, Sina hamu. Muda wote unalazimika kuwa na bado ili uperuziperuzi mtandaoni kama Kuna jipya. Mie hata mood ya kazi Sina nawaza tu kibali kinatoka lini au la!.
Mkuu sisi wa kusubiri miezi 8 tuseme je? Wote tuwe na subra. Mungu atatenda.
Wewe utakuwa umejibiwa, piga simu uunganishwe na IT's kuna jamaa alifanyiwa hivyo akafanikiwa kuona.Mkuu sisi wa kusubiri miezi 8 tuseme je? Wote tuwe na subra. Mungu atatenda.
Mimi ndiyo nakwambia mkuu inaenda miezi 8 sasa bila bila. Kama mdau aliyesema hapo juu yeye alipata baada ya miezi 8. Nishafanya mawasiliano nao walisema nisubiri.Wewe utakuwa umejibiwa, piga simu uunganishwe na IT's kuna jamaa alifanyiwa hivyo akafanikiwa kuona.
Huwa unavyo-comment humu kuwa una miezi nane hujajibiwa binafsi unanitengenezea hali ya kuogofya na hata watu wengine wanaosubiri vibali ambao ndio kwanza tuna miezi 2 na siku kadhaa.
Mbona watu WANAJIBIWA around 3-4 months..!!!
Walikwambia kusubiri hadi lini..?Mimi ndiyo nakwambia mkuu inaenda miezi 8 sasa bila bila. Kama mdau aliyesema hapo juu yeye alipata baada ya miezi 8. Nishafanya mawasiliano nao walisema nisubiri.
Waligoma kusema lini.. Zaidi ya kusema kasubiri.[
Walikwambia kusubiri hadi lini..?
Na ni vacancy kabisa mkuu
utumishi au tamisemiWaligoma kusema lini.. Zaidi ya kusema kasubiri.
Wakati nimetuma maombi nilijua baada ya miezi 3 majibu tayari. Nilipaki kabisa mabegi.
Destination organization tunawasiliana vizuri wanipa moyo itatik.
Utumishiutumishi au tamisemi
Haya maisha bhana,, sema inabidi hata watudanganye kuwa wiki ijayo inasaidia sana kushuka munkali😁Waligoma kusema lini.. Zaidi ya kusema kasubiri.
Wakati nimetuma maombi nilijua baada ya miezi 3 majibu tayari. Nilipaki kabisa mabegi.
Destination organization tunawasiliana vizuri wanipa moyo itatik.
Hahahahaha. tuendelee kuomba Mungu. Siku nikipata nitawapa feedback.Haya maisha bhana,, sema inabidi hata watudanganye kuwa wiki ijayo inasaidia sana kushuka munkali😁
Yaani hakuna hata dalili ya majibu maana hata Utumishi hawatoi hata tamko kuhusu maombi yetu watoe tamko tuwe na amaniHaya maisha bhana,, sema inabidi hata watudanganye kuwa wiki ijayo inasaidia sana kushuka munkali😁
Ukipiga simu wanakuambiaje..? Maana wengine simu hazipokelewiYaani hakuna hata dalili ya majibu maana hata Utumishi hawatoi hata tamko kuhusu maombi yetu watoe tamko tuwe na amani
utumishi au tamisemiWaligoma kusema lini.. Zaidi ya kusema kasubiri.
Wakati nimetuma maombi nilijua baada ya miezi 3 majibu tayari. Nilipaki kabisa mabegi.
Destination organization tunawasiliana vizuri wanipa moyo itatik.
Vibali hivyo kaka vinaloadSYSTEM INA LOAD TU
Hivi ni kwanini dirisha la etransfer tu ndio hua linaleta wenge na sio mengine?SYSTEM INA LOAD TU
1. Mamlaka/Udhibiti (EWURA, PPRA, PURA, TCRA, LATRA, eGA, SSRA, TIRA, DCEA, TASAC, GBT, TCAA, NCAA, TRA, TBS, etc.)Maisha ya Kiseng* sanaa sometimes
LG wanataka Taasisi
Taasisi wanataka Mamlaka
Mara sijui nani anataka wakala.
Dah, tumekuja duniani kuteseka tu.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mamalaka ni Authority1. Mamlaka (EWURA, PPRA, PURA, TCRA, LATRA, eGA, SSRA, TIRA, DCEA, TASAC, GBT, TCAA, NCAA, TRA, TBS, etc.)
2. Mifuko (USCAF, PSSSF, NSSF, WCF, NHIF etc.)
Ishi humo, utakuja kunishukuru.