HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Vibali ni kuanzia tarehe 26 mpka tarehe 3, ikipita hapo ukakosa ,,subiri Tena tarehe tajwa hizo kwa mwezi unaofata
Yaan nakwambia tukae mkao wa kula kuanzia weekend inayoanza keshokutwa.. Yaan mambo ni bambam.. Utumishi hawana mbambambaa kwenye hili.
Time will tell.. ni masaa tu yamebaki wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…