Kama unahamia kuwa mwalimu like assistant lecturer itafanyiwa recat...vinginevyo hakuna Kitu.1. Je unaweza kufanyiwa recategorization kwa kutumia Masters degree?
Mfano wewe umeajiriwa kama Afisa Utumishi na degree ya Human Resource Management. Ukasoma Masters ya Procurement kwa lengo la Recategorization uwe Afisa manunuzi. Muongozo wa utumishi unasemaje hapa?Mwenye uzoefu na hili tafadhali share experiance nataka kufanya maamuzi magumu.
2. Hizi kada zinazoitwa Quality Assurance Officers kwenye taasisi huwa wamesomea fani gani hasa wakiwa chuo?
Ahsante
Kabisa🙏🏿🙏🏿Mungu atajibu tu ,tuzidi kuomba
Yaaah tunazidi kusubiri hadi kielewekeMungu atajibu tu ,tuzidi kuomba
Siku 10Naomba kuuliza,kwenye destination institution vacancy request inakaa sku ngapi ndio ipite automatically
10 days, aisee yangu ikatoka huko nikapewa go aheda ya kuinitiate transfer,nimeweka attchment zote zimepita kote ,supervisor,mkuu wa idara ,kwa mkurugenzi ,leo natakiw kusbmit for aprove utumishi.Nikasubmit ikasubmit ikaleta "Vacancy in destination is already filled"...kuna mtu kanambia nisicancel niwe napita kujaribu kusubmit kila weekNaomba kuuliza,kwenye destination institution vacancy request inakaa sku ngapi ndio ipite automatically
10 days, aisee yangu ikatoka huko nikapewa go aheda ya kuinitiate transfer,nimeweka attchment zote zimepita kote ,supervisor,mkuu wa idara ,kwa mkurugenzi ,leo natakiw kusbmit for aprove utumishi.Nikasubmit ikasubmit ikaleta "Vacancy in destination is already filled"...kuna mtu kanambia nisicancel niwe napita kujaribu kusubmit kila week
Ni Taasisi gani?10 days, aisee yangu ikatoka huko nikapewa go aheda ya kuinitiate transfer,nimeweka attchment zote zimepita kote ,supervisor,mkuu wa idara ,kwa mkurugenzi ,leo natakiw kusbmit for aprove utumishi.Nikasubmit ikasubmit ikaleta "Vacancy in destination is already filled"...kuna mtu kanambia nisicancel niwe napita kujaribu kusubmit kila week
10 daysNaomba kuuliza,kwenye destination institution vacancy request inakaa sku ngapi ndio ipite automatically
Dah ambao ombi limefika Utumishi tumshukuru Mungu sanaPole sana.
Nafasi nyingi zilishachukuliwa, Tafuta taasisi nyingine chap kabla nazo hazijajaa.
Huyo aliyekushauri kuwa uache kwanza sawa, ila kwa namna fulani inakuwa ni kubahatisha zaidi. Ningekuwa ni wewe ningevumilia kidogo kama wiki then ningefuta ili Nitafutie Taasisi nyingine. Maana unaweza kuiacha siku zote na isikubali huku unazikosa nafasi zilizo wazi kwa sasa.
Tafuta taasisi nyingine maana ,hiyo Taasisi ujui lini wataomba kibali Tena Utumishi,kwa kawaida taasisi yenye uhitaji inaomba kibali utumishi,Utumishi wakisha toa kibali basi vacancy inakuwa free kupokea wanahitaji,Bora utafute taasisi nyingine10 days, aisee yangu ikatoka huko nikapewa go aheda ya kuinitiate transfer,nimeweka attchment zote zimepita kote ,supervisor,mkuu wa idara ,kwa mkurugenzi ,leo natakiw kusbmit for aprove utumishi.Nikasubmit ikasubmit ikaleta "Vacancy in destination is already filled"...kuna mtu kanambia nisicancel niwe napita kujaribu kusubmit kila week
Siku 10
10 days, aisee yangu ikatoka huko nikapewa go aheda ya kuinitiate transfer,nimeweka attchment zote zimepita kote ,supervisor,mkuu wa idara ,kwa mkurugenzi ,leo natakiw kusbmit for aprove utumishi.Nikasubmit ikasubmit ikaleta "Vacancy in destination is already filled"...kuna mtu kanambia nisicancel niwe napita kujaribu kusubmit kila week
10 days
Mbna hatari, au wamesha ondoa ile ya automaticYangu bado ipo destination institution tangu 11/09/2026 sielewi
Mbna hatari, au wamesha ondoa ile ya automatic
Waombe wakupitishie,, japo Kuna wengine ukiwasimbua wanaku-rejectYangu bado ipo destination institution tangu 11/09/2026 sielewi
Tafuta taasisi za kawaida zile taasisi zenye asali nono nafasi hakunaNi Taasisi gani?
Sawa inaweza kufika kule UTUMiSHI ikawa rejected nako hapo ni kuomba sana MunguDah ambao ombi limefika Utumishi tumshukuru Mungu sana
Ni kweli Kila hatua ni kuomba Mungu wakati wake n sahihiSawa inaweza kufika kule UTUMiSHI ikawa rejected nako hapo ni kuomba sana Mungu