returnKing
Member
- Jul 18, 2026
- 37
- 26
Hongera zake ngoja tuvute subraKuna jamaa kapata kibali wiki hii na ombi lake lilifika Utumishi mwezi July mwaka huu..
Je, hii tuichukuwe kama ni habari njema kwa wote ambao maombi yao yalifika UTUMISHI mwezi huo July..?
Ombi lako Lina siku ngapi..?Hongera zake ngoja tuvute subra
Five weeksOmbi lako Lina siku ngapi..?
Huu mwezi unatoboa mkuuFive weeks
Inshallah kwa kudra za Mwenyewezi MunguHuu mwezi unatoboa mkuu
Kuna jamaa kapata kibali wiki hii na ombi lake lilifika Utumishi mwezi July mwaka huu..
Je, hii tuichukuwe kama ni habari njema kwa wote ambao maombi yao yalifika UTUMISHI mwezi huo July..?
Inawezekana kweli kuna formula hizo za first in first out , ila kuna mtu ombi lake lipo utumishi kabla ya julai na bado hajapata majibu. Vinginevyo alipata msaada, ongea nae vizuri.
Inawezekana kweli kuna formula hizo za first in first out , ila kuna mtu ombi lake lipo utumishi kabla ya julai na bado hajapata majibu. Vinginevyo alipata msaada, ongea nae vizuri.Kuna jamaa kapata kibali wiki hii na ombi lake lilifika Utumishi mwezi July mwaka huu..
Je, hii tuichukuwe kama ni habari njema kwa wote ambao maombi yao yalifika UTUMISHI mwezi huo July..?
ReallyInawezekana kweli kuna formula hizo za first in first out , ila kuna mtu ombi lake lipo utumishi kabla ya julai na bado hajapata majibu. Vinginevyo alipata msaada, ongea nae vizuri.
Ndiyo hivyo. Uhamisho ukiwa unasubiri unatakiwa kuwa na subra sana.Really
Yeah nnayo mkuu yana wiki ya 3 sasaMkuu Pondamali Kufakwaja una ombi nawe..?
Taaluma unique haipo hivyo.Kila kitu kinawezekana, Je huko unakokwenda kama una ukaribu nao wanaweza kukulindia nafasi yako lakini kama hakuna mtu unaemjua wanaweza kufanya uhuni vile vile hasa HR wakauza nafasi kwa mwingine ambaye akapambana na kibali kikatoka kabla yako akaingia.
Mimi nina ushuhuda wa jamaa mmoja kapewa kibali cha kwenda kuripoti akachelewa kwa mwezi mmoja. Siku anaenda akakuta kuna mtu karipoti kwenye nafasi yake kama wiki mbili nyuma. Wakamwambia tayari kuna mtu. Ikabidi arudi Dodoma kwa katibu mkuu alikopewa barua ile. inavyoonekana aliyerioti ni mzito kuliko yule mtoto wa masikini uliyetumia ESS. Akapangiwa taasisi nyingine ingawa haikuwa nzuri kama ile ya awali aliyoikosa.
Taasisi tamu zina fitina nyingi unless uwe na taaluma unique kama za engineering, computer science e.t.c lakini kwa hizi fani za HR, Accounts na jamii ya hizo dakika sifuri watu wanakugeuka
Tukutane Interview kwenye hiyo Senior moja wapo.Wakuu hamtaki kuhamia Ofisi ya Msajili wa Hazina? Mbona wanatoa tangazo la marudio la nafasi za kuhamia?
Mungu atatenda kwenye moja wapo ya Senior level post.Labda watu wameridhika na sehemu walizopo
Jamaa angu alituma mwezi wa sabaKuna jamaa kapata kibali wiki hii na ombi lake lilifika Utumishi mwezi July mwaka huu..
Je, hii tuichukuwe kama ni habari njema kwa wote ambao maombi yao yalifika UTUMISHI mwezi huo July..?
Hongera zakeJamaa angu alituma mwezi wa saba
Akapokea kibali
Na kasha report.
Yote hayo yamefanyika mwezi wa 7.
Life is not fair.
Tuendelee kupambana.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Yaaaah, kweli mkuu "Life is not fair" yaan mtu anatuma ombi Leo na baada ya wiki kibali hicho kimeappear kwa ESS. Chap tuJamaa angu alituma mwezi wa saba
Akapokea kibali
Na kasha report.
Yote hayo yamefanyika mwezi wa 7.
Life is not fair.
Tuendelee kupambana.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hivi hizi za kuhamia zinahitaji barua ya maombi utakayoweka kwenye ajira portal ipite kwa Mwajiri..?Mungu atatenda kwenye moja wapo ya Senior level post.
Tukutane interview.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Be patientYaaaah, kweli mkuu "Life is not fair" yaan mtu anatuma ombi Leo na baada ya wiki kibali hicho kimeappear kwa ESS. Chap tu
Lazima ipite kwa mwajiri.Hivi hizi za kuhamia zinahitaji barua ya maombi utakayoweka kwenye ajira portal ipite kwa Mwajiri..?
Naona umewatag walimu wenzako, sisi wa idara nyingine kwenye taasisi zinazojitegemea tukae kimya. Ila naimani utafanikiwa as long as it has already been approved. Nenda Dom kaka personally, utanishukuruHalooo
Mgeni wa Jiji
ChoiceVariable
kirikou1
To yeye
kadefeghe
Synod
Mtanzania2020
Njooni basi mtoe nondo za kunifanya nisepe Local Government ....
#YNWA
#YANGA_BINGWA