HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ukifanyiwa recate ina maana unabadili kada au muundo kwa kawaida utakaa miaka 3 utapanda daraja kama kawaida ila kama unapanda mwakani ni heri usubiri kwanza daraja then uanze vurugu za recate
Uhamisho wa recategorization unaumiza moyo sana unarudisha nyuma miaka uombe Mungu upate taasisi yenye scale kubwa ambayo entry level yake inazidi scale ya cheo ulicho nacho huku ulikotoka hapo kidogo maumivu yatapungua
 
Ukifanyiwa recate ina maana unabadili kada au muundo kwa kawaida utakaa miaka 3 utapanda daraja kama kawaida ila kama unapanda mwakani ni heri usubiri kwanza daraja then uanze vurugu za recate
Sasa mkuu nikipanda daraja mwakani kisha nikahama kupitia recat si inakua kitu kile kile tu naenda kuanza moja?
 
Sasa mkuu nikipanda daraja mwakani kisha nikahama kupitia recat si inakua kitu kile kile tu naenda kuanza moja?
usisubiri daraja kama unahama kwa recategorization sababu hata ukipanda sasa ukifika kule unaenda kuanza moja entry level. Bora kama unaondoka uondoke mapema ili hiyo miezi ya kusubiri ikakukute kituo kipya ikusaidie kukimbiza miaka mitatu ya cheo kipya huko unakokwenda
 
sasa iyo mishahara ndo utafananisha na TRC
 
Duhh sio poa

Hongera mkuu_ Uzuri umeshapata Kibali, Lakini kwa sasa ungeenda kuzuga kituo cha zamani ili barua ikifika rasmi unaamsha mkuu huna cha kupoteza
 

Ni kweli sina task yoyote kwenye mfumo nilijaribu pia kuwasilianavna mkuu WA KITUO kinachosoma sasa Jibu alilonipa ni mpaka aone barua sasa nimebaki MTU Kati huku nkmeambiwa nitapigiwa simu kibali CHANGU kikikamilika
Mtafute PS wa Mkurugenzi,
 
kwenye mkeka wa mwaka huu kuna taasisi zipo kwenye huo mkeka kama singida lakini ukiingia kwenye mfumo hiyo kada haipo ufafanuzi hapa wakuu
 
Kwenye mkeka Kuna nafasi za kuhamia za Warden I ,Warden II na Examination officer, hivi ukiwa na fani gani unaweza kuomba kuhamiahi hizo nafasi?
 
N
Nenda karipoti kituo kipya .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…