Kwani hapo ulipo we ni warden au examination officer?Kwenye mkeka Kuna nafasi za kuhamia za Warden I ,Warden II na Examination officer, hivi ukiwa na fani gani unaweza kuomba kuhamiahi hizo nafasi?
Asante, naomba unisaidie kujua tofauti ya Warden I na Warden II , ni mtu mwenye elimu gani anaweza kuwa Warden I na Warden IIEducation,community Development,, sociology, counseling etc
Wote wawili ni Bachelor... ila warden II ni entry position na ilw Warden I ni miaka 4Asante, naomba unisaidie kujua tofauti ya Warden I na Warden II , ni mtu mwenye elimu gani anaweza kuwa Warden I na Warden II
Mimi sio Warden Wala Sio examination officer , nmeona hizo nafasi za kuhamia nataka nipate uelewa kidogo kabla ya kujaribu na MimiKwani hapo ulipo we ni warden au examination officer?
Kama siyo si inabidi uombe kwa recate?
Asante nashukuruWote wawili ni Bachelor... ila warden II ni entry position na ilw Warden I ni miaka 4
Ess module zote zinafanya kazi vzr isipokua e uhamisho.Na nyie huko mfumo wa ess kwenye e-uhamisho hauoneshi chochote?
Kwa kweli mkuuEss module zote zinafanya kazi vzr isipokua e uhamisho.
Hii ni michezo mnachezewa h
Wanapakia vibaliNa nyie huko mfumo wa ess kwenye e-uhamisho hauoneshi chochote?
Engineer 1.8mNani amefanaisha? TRC wanalipwaje, kwa technical positions?
kipenseli2021 unaonekana mchoyo wa taarifa Maana tulikubaliana humu kuwa tupeane mrejesho, sasa wewe Umejibiwa ukatoa taarifa zisizokamilika hapa na umefuta. Hebu tuwekee Screenshot tupate kujifunza. Fura taarifa zako muhimu BUT Wapambanaji tunataka tuone uhalisia au majibu hayo ya rejectedMkuu uliomba kuhamia wapi?
Ulianza na vacancy request?
Ulitumia nafasi za kwenye huu mkeka?
Pole kwa jibu gumu
Kuna wengine umeona huko?Wakuu mbona rejected ni nyingi zaidi inaogopesha sana au hawataki tuhame..?
Halafu nimeingia mida ya saa 1 usiku huu ikakubali, sasa hivi haifunguki Wakuu... Uwiiiiiiih🤣. Huu mfumo unamaliza Bando langu tuEss module zote zinafanya kazi vzr isipokua e uhamisho.
Hii ni michezo mnachezewa h
nawe umepigwa na kitu kizito cha rejected au..?Wakuu mbona rejected ni nyingi zaidi inaogopesha sana au hawataki tuhame..?
Kwani uhamisho wa kwenye mfumo si unajigharamia au unalipwa stahiki zako? Au ndio ule waraka ambao unasema ukikaa kituo cha kazi zaidi ya miaka mitano unalipwa kisheriaUshuhuda,,,,ombi lilifka July mwishoni, majibu yamerudi jana.. na sababu ya kukataliwa ndio hiyo
pole kiongozi dont give up,omba ufafanuzi wa huo warakaUshuhuda,,,,ombi lilifka July mwishoni, majibu yamerudi jana.. na sababu ya kukataliwa ndio hiyo
Imeshakua REJECTED hata ukipata ufafanuzi sidhani kama inasaidiapole kiongozi dont give up,omba ufafanuzi wa huo waraka