Preba de fisica
Member
- Apr 8, 2021
- 57
- 52
Na ombi hili halikuwa Auto Accept, lilikubaliwa na taasisi Tena haraka sana, licha ya kukubaliwa kwenye mfumo pia walitoa na baruaUshuhuda,,,,ombi lilifka July mwishoni, majibu yamerudi jana.. na sababu ya kukataliwa ndio hiyo
tafuta ufafanuzi wa waraka huoNa ombi hili halikuwa Auto Accept, lilikubaliwa na taasisi Tena haraka sana, licha ya kukubaliwa kwenye mfumo pia walitoa na barua
Dah aisee mi mwenyewe ndo hivyo hivyo aisee, sa sijui wanachotaka wao ni kitu gani labdaNa ombi hili halikuwa Auto Accept, lilikubaliwa na taasisi Tena haraka sana, licha ya kukubaliwa kwenye mfumo pia walitoa na barua
Kuna mtu mwenye waraka huu jaman tuupatetafuta ufafanuzi wa waraka huo
kwani huo waraka unasemaje?Ushuhuda,,,,ombi lilifka July mwishoni, majibu yamerudi jana.. na sababu ya kukataliwa ndio hiyo
Kwa hali hii sioni mtu akitoboa sasaUshuhuda,,,,ombi lilifka July mwishoni, majibu yamerudi jana.. na sababu ya kukataliwa ndio hiyo
hapana wakati ni kitu sahihi sana,usijali kila mtu Mungu amempangia njia yakeKwa hali hii sioni mtu akitoboa sasa
Nadhani watu waliotoboa kwenye mfumo kuna some sort of connection au support walipata utumishi wakafanikisha, ila si unajua waja wachoyo wa fursa, wanakupiga tu kiswahili hata kama una ukaribu nae ila in reality ni tofauti kabisaNa ombi hili halikuwa Auto Accept, lilikubaliwa na taasisi Tena haraka sana, licha ya kukubaliwa kwenye mfumo pia walitoa na barua
dahNadhani watu waliotoboa kwenye mfumo kuna some sort of connection au support walipata utumishi wakafanikisha, ila si unajua waja wachoyo wa fursa, wanakupiga tu kiswahili hata kama una ukaribu nae ila in reality ni tofauti kabisa
Ni kweli inakuwa Haina mantiki yoyoteImeshakua REJECTED hata ukipata ufafanuzi sidhani kama inasaidia
Barua uliweka kwenye mfumo..?Na ombi hili halikuwa Auto Accept, lilikubaliwa na taasisi Tena haraka sana, licha ya kukubaliwa kwenye mfumo pia walitoa na barua
Kwahiyo huu waraka ni wa kutafutwa piaUshuhuda,,,,ombi lilifka July mwishoni, majibu yamerudi jana.. na sababu ya kukataliwa ndio hiyo
kwa hiyo ukipata REJECTED uombi tena,maana ni bora ujue shida niniNi kweli inakuwa Haina mantiki yoyote
Tunamaanisha kwa ombi hili ambalo ni rejected, kinakuwa halina tija Tena.kwa hiyo ukipata REJECTED uombi tena,maana ni bora ujue shida nini
sawa ila ukijua shida unajua utoke vipiTunamaanisha kwa ombi hili ambalo ni rejected, kinakuwa halina tija Tena.
mtandao ukiona unasumbua ujue kuna kituHivi nyie wadau mnaonaje hizi rejected mbona wengine mtandao u
Duh! Haya mambo hayatabiliki. Nahisi ukiwa na connection, ni rahisi bila kikwazo. Connection zenyewe wengine hatuzijui, ukijichanganya unakutana na madalali, nao wanakupiga. Ni hatari tupu. Nawapongeza wote waliobahatika kupata vibali ndani ya huu Uzi. Tusikate tamaa. Wakireject hili unaanzisha lingine hadi kieleweke.Na ombi hili halikuwa Auto Accept, lilikubaliwa na taasisi Tena haraka sana, licha ya kukubaliwa kwenye mfumo pia walitoa na barua
je hiyo ofisi ipo nje ya mkoa wako wa sasa? naa kama ndio umeshakaa kuanzia miaka 5 katika kituo chako cha kazi?Na ombi hili halikuwa Auto Accept, lilikubaliwa na taasisi Tena haraka sana, licha ya kukubaliwa kwenye mfumo pia walitoa na barua