Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
- Thread starter
-
- #1,601
Subiri miaka 3Naomba kuuliza, sijathibitishwa kazn bado lkn nataka kuhama, nikienda utumishi Dodoma watanisikiliza hoja zangu? Au najisumbua au nianzie tamisemi? Nipo Arusha nataka kwenda pwani mwalimu mathematics
Mimi ni mwl na Nina zaidi ya miaka 13 kwenye kituo. Nina Masters ya utawala wa elimu na mipango yapata miaka 4 Sasa nipo nacheza na watoto wa shule ya msingi. Mwisho wa siku nimepata kazi inayoendana na Elimu yangu ktk taasisi Fulani lakini utumishi bado wananibania. Ni huzuni kwakweli.Mi sio mwalimu lakin hichi ndio kimenikuta asee.. Masters ambayo halmashauri haina sehem yoyote naweza kuifanyia kazi isipokua kwenye taasisi kubwa tu.
Mpaka nawashangaa sasa hawa wamenireject ili niendelee kufanya nini huku?
Mkuu hapo mchawi unaona ni nani..? Au ni Boss wako alikuandikia comment ya kukusagia kunguni..?Mimi ni mwl na Nina zaidi ya miaka 13 kwenye kituo. Nina Masters ya utawala wa elimu na mipango yapata miaka 4 Sasa nipo nacheza na watoto wa shule ya msingi. Mwisho wa siku nimepata kazi inayoendana na Elimu yangu ktk taasisi Fulani lakini utumishi bado wananibania. Ni huzuni kwakweli.
Daah hakika ni huzuni yaani unashindwa kuelewa. Au wanadiscourage watu wasisome?Mimi ni mwl na Nina zaidi ya miaka 13 kwenye kituo. Nina Masters ya utawala wa elimu na mipango yapata miaka 4 Sasa nipo nacheza na watoto wa shule ya msingi. Mwisho wa siku nimepata kazi inayoendana na Elimu yangu ktk taasisi Fulani lakini utumishi bado wananibania. Ni huzuni kwakweli.
Utumishi walisema hakuna nafasi iliyobainishwa kwenye taasisi ninayotaka kwenda wakati nafasi zilitangazwa na nikawaandikia barua ya kuomba kuhamia, wakanibu kuwa nafasi zipo sita hivo niwahi nijaze kwenye mfumo. Sasa shida ni kwamba tulioomba hizo nafasi tupo zaidi ya mia mbili hivo wamepata walio wahi.Mkuu hapo mchawi unaona ni nani..? Au ni Boss wako alikuandikia comment ya kukusagia kunguni..?
Utumishi wamekupa sababu ya Ikama kutoka Taasisi yako..?
Kama ulipata vacancy, ni bora wangesema kuwa nafasi zimekwishajazwa tayari kuliko hiyo ya "hakuna nafasi iliyobainika" LABDA kama uliomba kupitia dirisha la Normal transferUtumishi walisema hakuna nafasi iliyobainishwa kwenye taasisi ninayotaka kwenda wakati nafasi zilitangazwa na nikawaandikia barua ya kuomba kuhamia, wakanibu kuwa nafasi zipo sita hivo niwahi nijaze kwenye mfumo. Sasa shida ni kwamba tulioomba hizo nafasi tupo zaidi ya mia mbili hivo wamepata walio wahi.
Ongea vizuri na boss wako Utumishi sio shida,shida unapotoka wanasagia kunguniUtumishi walisema hakuna nafasi iliyobainishwa kwenye taasisi ninayotaka kwenda wakati nafasi zilitangazwa na nikawaandikia barua ya kuomba kuhamia, wakanibu kuwa nafasi zipo sita hivo niwahi nijaze kwenye mfumo. Sasa shida ni kwamba tulioomba hizo nafasi tupo zaidi ya mia mbili hivo wamepata walio wahi.
Mkuu unataka kuanza mchakato au Unasubiri BaruaHawa jamaa ni watu wa hovyo e transfer week sasa haifunguki wanafikiri nini
Ni exchange transfer ilishafika kwa supervisorMkuu unataka kuanza mchakato au Unasubiri Barua
Ni Taasisi gani MkuuUtumishi walisema hakuna nafasi iliyobainishwa kwenye taasisi ninayotaka kwenda wakati nafasi zilitangazwa na nikawaandikia barua ya kuomba kuhamia, wakanibu kuwa nafasi zipo sita hivo niwahi nijaze kwenye mfumo. Sasa shida ni kwamba tulioomba hizo nafasi tupo zaidi ya mia mbili hivo wamepata walio wahi.
Ilikuwa IFM.Ni Taasisi gani Mkuu
Ni aacademic possition?Ilikuwa IFM.
Hahahah jmn big dreamKubababake mtu ushapiga hesabu ukihamia WCF unakua mkristo safi hutaki hata maneno na watu wa online maneno yasije tumika kukuanzishia zengwe.
Utumishi looked at your dreams and said "Fvck this nigga"
Ilikuwa IFM
Balaa sana.Hahahah jmn big dream
Utumishi awana shida ongea vizuri na boss wakoBalaa sana.
Yaani unapiga hesabu utakua unaongoza kuwahi na kujituma kikazi.
Kumbe utumishi wana mipango yao