nkurushidaniphord
Member
- Sep 30, 2026
- 11
- 3
Ombi langu limefika utumishi mwezi wa tisa by auto accepted na sijajibiwa je kuna tumaini?
Mbona sijasema utumishi hawako fair. Mtoa comment amesema "Uhamisho kwa sasa ni 100% inafanyika kwenye mfumo,". Mimi nimejibu kuwa, kuna baadhi ya transfers zinafanyika nje ya mfumo.Kinachoangaliwa kwa upana ni unakotoka sio unakokwenda!,nakubali 100%,utumishi wapo fair sana,mimi nimekuwa Rejected lakini nakili UTUMISHI wapo fair,siwezi walaumu,shida ni unapotoka wamekubali kukuachia
hapo hadi mwezi wa 11,utapata jibu ila kama unapotoka awataridhia imekula kwakoOmbi langu limefika utumishi mwezi wa tisa by auto accepted na sijajibiwa je kuna tumaini?
za nje ya mfumo zipo,maana zipo transfer ambazo mtu anatoka tu sehemu moja kwenda nyingine,mara nyingi ni ndani ya WizaraMbona sijasema utumishi hawako fair. Mtoa comment amesema "Uhamisho kwa sasa ni 100% inafanyika kwenye mfumo,". Mimi nimejibu kuwa, kuna baadhi ya transfers zinafanyika nje ya mfumo.
hapo hadi mwezi wa 11,utapata jibu ila kama unapotoka awataridhia imekula k
ninapotoka ilipita auto je kunashida?hapo hadi mwezi wa 11,utapata jibu ila kama unapotoka awataridhia imekula kwako
hahaha kwa hiyo term hii ilikuwa mwendo wa Rejected,kama umepona subiri kibali tu mzee
Transfer ya nje ya mfumo ni ule uhamisho wa katibu mkuu wa wizara yako au mkuu wa taasisi au idara yako kama ina operate nchi nzima. Hakuna uhamisho wa kawaida toka taasisi tofauti unaoenda nje ya mfumo.Mbona sijasema utumishi hawako fair. Mtoa comment amesema "Uhamisho kwa sasa ni 100% inafanyika kwenye mfumo,". Mimi nimejibu kuwa, kuna baadhi ya transfers zinafanyika nje ya mfumo.
Naam unakuta mtu anatolewa TIA anapelekwa IFM! Hizi taasisi bosi wake ni katibu mkuu fedha so hii inawezekana kwa barua tu maana hawa watu wamepewa mamlaka ya kuhamisha watu ku balance ikama au kuboresha utendaji.za nje ya mfumo zipo,maana zipo transfer ambazo mtu anatoka tu sehemu moja kwenda nyingine,mara nyingi ni ndani ya Wizara
yes na hii inakuwa kwa barua tuNaam unakuta mtu anatolewa TIA anapelekwa IFM! Hizi taasisi bosi wake ni katibu mkuu fedha so hii inawezekana kwa barua tu maana hawa watu wamepewa mamlaka ya kuhamisha watu ku balance ikama au kuboresha utendaji.
Transfer ya nje ya mfumo ni ule uhamisho wa katibu mkuu wa wizara yako au mkuu wa taasisi au idara yako kama ina operate nchi nzima. Hakuna uhamisho wa kawaida toka taasisi tofauti unaoenda nje ya mfumo.
Uko sahihi. Mmoja karudi.Hawa wengi wao tuliwarudisha maana zile transfers zao zilikua za kihuni. Kumbuka, very exceptional cases unaweza kuhama kabla hujathibitishwa. Kama uhamisho ni wa kariakoo, utashikwa kwenye kuhamisha mshahara tu.
Mwezi wa Tisa tarehe ngapi?Ombi langu limefika utumishi mwezi wa tisa by auto accepted na sijajibiwa je kuna tumaini?
tarehe 3Mwezi wa Tisa tarehe ngapi?
huu waraka muhimu sana
Ingieni mtandao umerudi
Ombi lako ni la tarehe ngapi mwezi upi mkuu..?Umerudi ila me bado kabaki PO-PSMGG (UTUMISHI) ana niangaliaa
Mimi Tangu mwezi wa Saba lipo utumishi ukipiga wanakwambia watajibu kwenye mfumoOmbi lako ni la tarehe ngapi mwezi upi mkuu..?
Halafu Kunaa watu wa 7 tena mwishoni kabisa na wengine wa 8 wamejibiwa tayariMimi Tangu mwezi wa Saba lipo utumishi ukipiga wanakwambia watajibu kwenye mfumo
Yan bora waweke REJECTED YAISHE TUHalafu Kunaa watu wa 7 tena mwishoni kabisa na wengine wa 8 wamejibiwa tayari