kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 2,181
- 1,988
Ingieni mtandao umerudi
IFM naona walitoa Non Academic Staff kama zile "Warden"Ni aacademic possition?
Haiyaaaah mliopata vibali leteni ushuhuda hapaIngieni mtandao umerudi
Dah mi sina cha kusema mkuuUtumishi awana shida ongea vizuri na boss wako
Chief, sipo kada yako. Ila nimeona watu wa kada ya afya wakihama kabla ya miaka 3 na hata bila kuthibitishwa. Ila hii ilihitaji connection.Naomba kuuliza, sijathibitishwa kazn bado lkn nataka kuhama, nikienda utumishi Dodoma watanisikiliza hoja zangu? Au najisumbua au nianzie tamisemi? Nipo Arusha nataka kwenda pwani mwalimu mathematics
Academician au Non-Academician?Ilikuwa IFM.
Pwani namaanisha kibaha ni karibu na mloganzila kulko manzese , tandale chanika mbagala na Gongo la mbotoChief, sipo kada yako. Ila nimeona watu wa kada ya afya wakihama kabla ya miaka 3 na hata bila kuthibitishwa. Ila hii ilihitaji connection.
Wengine ilibidi kuonyesha relevant documents za ishu za afya. Kama documents zako ni za afya sidhani kama kuna mtu utamshawishi kwamba pwani ina huduma nzuri za afya kuliko Dar au Arusha.
Mkuu just do it. Make sure docs ni legit.Pwani namaanisha kibaha ni karibu na mloganzila kulko manzese , tandale chanika mbagala na Gongo la mboto
hahaha kwa hiyo term hii ilikuwa mwendo wa Rejected,kama umepona subiri kibali tu mzeeHii E-TRANSFER naona Haina mpya Tena hapa hadi mwisho wa mwezi Tena watu waje kutoa mrejesho
NonAcademician au Non-Academician?
Hivi mkuu kwanini kule Tamisemi hawatoi hata hizo rejected maana naona waalimu wanalalamika maombi kukaa miezi mingi bila majibu..hahaha kwa hiyo term hii ilikuwa mwendo wa Rejected,kama umepona subiri kibali tu mzee
Kama ulipata vacancy, ni bora wangesema kuwa nafasi zimekwishajazwa tayari kuliko hiyo ya "hakuna nafasi iliyobainika" LABDA kama uliomba kupitia dirisha la Normal transfernaomba
Hivi inawezana vacancy ziko 10 kulingana na budget Yao!Waombaji wa hizo nafasi waliopewa nafasi(accepted) wanaweza kuwa zaidi ya 10 na maombi yanaenda utumishi?Utumishi walisema hakuna nafasi iliyobainishwa kwenye taasisi ninayotaka kwenda wakati nafasi zilitangazwa na nikawaandikia barua ya kuomba kuhamia, wakanibu kuwa nafasi zipo sita hivo niwahi nijaze kwenye mfumo. Sasa shida ni kwamba tulioomba hizo nafasi tupo zaidi ya mia mbili hivo wamepata walio wahi.
😂😂😂😂😂😂Kubababake mtu ushapiga hesabu ukihamia WCF unakua mkristo safi hutaki hata maneno na watu wa online maneno yasije tumika kukuanzishia zengwe.
Utumishi looked at your dreams and said "Fvck this nigga"
TAMISEMI kule load kubwa ,kwa hiyo angalau mwaka 1H
Hivi mkuu kwanini kule Tamisemi hawatoi hata hizo rejected maana naona waalimu wanalalamika maombi kukaa miezi mingi bila majibu..
H
Hivi mkuu kwanini kule Tamisemi hawatoi hata hizo rejected maana naona waalimu wanalalamika maombi
hahaha kwa hiyo term hii ilikuwa mwendo wa Rejected,kama umepona subiri
Ukifanikiwa kuondoka tamisemi na mamlaka zake ni mafanikio makubwa..kutoboa tu uhamisho Bila janja janja ni ngumu sanaTAMISEMI kule load kubwa ,kwa hiyo angalau mwaka 1
TAMISEMIUkifanikiwa kuondoka tamisemi na mamlaka zake ni mafanikio makubwa..kutoboa tu uhamisho Bila janja janja ni ngumu sana
Uhamisho kwa sasa ni 100% inafanyika kwenye mfumo, na utumishi wako fair sana.
Kinachoangaliwa kwa upana ni unakotoka sio unakokwenda! Kuna watu hapa wameongea habari za Auto Accept wakidhani ni kigezo cha kukosa si kweli.
Ili mfumo ukubali auto accept ni lazima HR apitishe kule unakoomba vacancy then iende kwa accounting officer, taasisi nyingi mkuu wa taasisi huwa busy sana hivyo maombi mengi huenda kwa HR ila accounting officer stage isipothibitisha basi hukubaliwa auto! HR asipogusa ombi lako halitajibiwa hata likikaa mwaka. Ukiona 10 days ujue ngazi ya mkuu wa taasisi tu ndo haija comment na hupita auto!
Sasa utumishi kikubwa wanaangalia je ulipotoka mkuu wako anasemaje? Kumbuka mkuu wako chochote atakachoamua ombi lako litasonga mbele, akikukubalia uhame ni lazima aseme nafasi yako inajazwa vipi na ikitokea akakubali na akawa hana ikama ya kutosha katibu mkuu anayo mamlaka ya kukuzuia usiondoke ili usije leta pengo unakotoka!!
Mbaya zaidi anachoandika boss wako huwezi ona.
Chief, sipo kada yako. Ila nimeona watu wa kada ya afya wakihama kabla ya miaka 3 na hata bila kuthibitishwa. Ila hii ilihitaji connection.
Wengine ilibidi kuonyesha relevant documents za ishu za afya. Kama documents zako ni za afya sidhani kama kuna mtu utamshawishi kwamba pwani ina huduma nzuri za afya kuliko Dar au Arusha.
Kinachoangaliwa kwa upana ni unakotoka sio unakokwenda!,nakubali 100%,utumishi wapo fair sana,mimi nimekuwa Rejected lakini nakili UTUMISHI wapo fair,siwezi walaumu,shida ni unapotoka wamekubali kukuachiaKwenye red, kuna transfers nyingi tu za nje ya mfumo.