Nakadi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,772
- 7,372
Hii ngojangoja inawaumiza sana watu matumboYan bora waweke REJECTED YAISHE TU
Hii ngojangoja inawaumiza sana watu matumboYan bora waweke REJECTED YAISHE TU
Wadau wanakwambia kwenye hii mechi ni ama wadau washinde au utumishi ushindwe.Yan bora waweke REJECTED YAISHE TU
lini hio mkuu
Mkuu wewe si ulipata REJECTED juzi tu, leo hii Umepata kibali..?
Watajibu October jiandaeMimi Tangu mwezi wa Saba lipo utumishi ukipiga wanakwambia watajibu kwenye mfumo
Si ndio hiiWatajibu October jiandae
Mwisho wa OctoberSi ndio hii
Taasisi moja ya maokoto sanaa
Nililkuwa ""Focal person"" wao huko Halmashauri.
Mi nachoogopa na concern yangu ni ""Hivi kama mkurugenzi wako kapitisha ina maana karuhusu uondoke, Je Utumishi wao HAWAWEZI REJECT??""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sijui japo n cv tuHivi kumbe kunaku-attach barua ya kuomba uhamisho kwenye mfumo!
Automatically hua inachukuliwa CV.Hivi kumbe kunaku-attach barua ya kuomba uhamisho kwenye mfumo!
🤣🤣🤣Mkuu wewe si ulipata REJECTED juzi tu, leo hii Umepata kibali..?
🤣🤣🤣 Una kumbukumbu sana @ STUKA
🤣🤣🤣 Una kumbukumbu sana @ STUKA
Hii nimefuatilia ina ka ukweli Fulani hivi. Nilianzisha Vacancy request nyingine baada Ile ya awali kuwa rejected. Imekaa kwa head of institution siku 7 bila kuguswa ikabidi nimtembelee ofisini kwake, nikamuomba anipitishie. Duh! Akakubali ila analalamika kwanini ninataka kuhama?. Ndo nikahisi uenda hizi rejected zinatokana na comments zaoUtumishi awana shida ongea vizuri na boss wako
Hahahahaha Yan unamuacha boss wako wewe unaenda TRA unadhani atakukubaliaHii nimefuatilia ina ka ukweli Fulani hivi. Nilianzisha Vacancy request nyingine baada Ile ya awali kuwa rejected. Imekaa kwa head of institution siku 7 bila kuguswa ikabidi nimtembelee ofisini kwake, nikamuomba anipitishie. Duh! Akakubali ila analalamika kwanini ninataka kuhama?. Ndo nikahisi uenda hizi rejected zinatokana na comments zao
Asante.Mkurugenzi kupitisha haimaanishi amekubali uhame, hujui ametoa maoni gani juu yako.
Kiufupi, huwezi kuhama ili hali una likizo ya masomo. Pambana na shule tu.