HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu msaada, auto accept inachukua mda gani? Maana vacancy request yangu ipo kwa destination organisation tangu tarehe 21 September na status haijabadilika
 
Ombi linakua auto-accepted hadi HR wa hiyo organization aridhie na alipeleke hatua ya pili yaani kwa accounting officer. Likifikika huko kama hajachukua maamuzi ndani ya 10 days ndo mfumo unakubali automatically!

HR aki reject utapata matokeo hapohapo kuwa hukuwa recommended! Cha kufanya watafute hiyo taasisi waombe wakupitishie.
 
Sawa mkuu
 
HR aki reject utapata matokeo hapohapo kuwa hukuwa recommended! Cha kufanya watafute hiyo taasisi waombe wakupitishsawa
 
Kabisa! Nimeandika haya kama mzoefu niliyekaa kwenye utumishi! Mwajiri wako ana sauti kubwa sana kwenye maamuzi ya uhamisho wako!
Watu hawaelewi. Ngoja niwape kidogo
 
Attachments

  • Screenshot_20261007_192446_Files by Google.jpg
    Screenshot_20261007_192446_Files by Google.jpg
    58.3 KB · Views: 10
Watu hawaelewi. Ngoja niwape kidogo
Yaaan hapo kwa lugha rahisi boss kashakukatalia/kashakusagia kunguni kudadadeq
Usikute rafiki wangu kipenseli2021 alisagiwa kunguni namna hii na boss wake kwenye mfumo, sema hakuona tu 🤣 Hii ya barua unasagiwa kunguni huku unaona kwa macho yako mawili
 
Vibali vinazidi vinamwagika TAMISEMI
 
Attachments

  • FB_IMG_1791397163921.jpg
    FB_IMG_1791397163921.jpg
    102.2 KB · Views: 12
Back
Top Bottom