Bokomnemela
Member
- Oct 7, 2026
- 5
- 5
Utumishi waliishia tu na REJECTED? Hakuna vibali vilivyotoka awamu hii?Hiyo itakuwa ni vilevile vya Jana.. Tamisemi Jana wamemwaga vibali kama majani..
Utumishi waliishia tu na REJECTED? Hakuna vibali vilivyotoka awamu hii?Hiyo itakuwa ni vilevile vya Jana.. Tamisemi Jana wamemwaga vibali kama majani..
Labda wapo waliopata ila kwa humu hakuna aliyetoa UshuhudaUtumishi waliishia tu na REJECTED? Hakuna vibali vilivyotoka awamu hii?
Naomba kuuliza TAMISEMI wanahusika na vibali gani vya uhamisho na UTUMISHI wanahusika na vibali gani ?Vibali vinazidi vinamwagika TAMISEMI
Yaaan hapo kwa lugha rahisi boss kashakukatalia/kashakusagia kunguni kudadadeq
Usikute rafiki wangu kipenseli2021 alisagiwa kunguni namna hii na boss wake kwenye mfumo, sema hakuona tu 🤣 Hii ya barua unasagiwa kunguni huku unaona kwa macho yako mawili
Naomba kuuliza TAMISEMI wanahusika na vibali gani vya uhamisho na UTUMISHI wanahusika na vibali gani ?
Asante nashukuruUtumishi - Kutoka taasisi moja kwenda nyingine/wizara moja kwenda wizara moja kwenda nyingine/halmashauri kwenda wizarani/wizarani kwenda halmashauri/halmashauri kwenda taasisi/taasisi kwenda halmashauri
TAMISEMI - Kutoka halmashauri moja kwenda nyingine
RAS - Kutoka halmashauri moja kwenda nyingine ndani ya mkoa wake
DED - Kutoka work station moja kwenda nyingine ndani ya halmashauri yake
Kabisa ila Rejection is directionYaaan hapo kwa lugha rahisi boss kashakukatalia/kashakusagia kunguni kudadadeq
Usikute rafiki wangu kipenseli2021 alisagiwa kunguni namna hii na boss wake kwenye mfumo, sema hakuona tu 🤣 Hii ya barua unasagiwa kunguni huku unaona kwa macho yako mawili
Kumbe mfumo umeshaanza kusumbua huko..?Ikifika Alhamisi tu EUhamisho inazingua...
Na ikirud kimya
Hii mpaka jumatatu next week saa 3 ndo unakaa Poa plus reject za kutosha🤣Hivi uhamisho wa nje ya mfumo kwa connection unawezekana?
HowVACANCY NOT BUDGETED
SEPTEMBER MOSI 2027Jamani mimi mwenzenu Mwl Elimu msingi nilituma maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya Kazi na mtumishi mwenzangu kutoka halmashauri ya mkoa A kwenda halmashauri nyingine ya mkoa B. Kufikia mwezi September Mosi maombi yetu yalikuwa yamefika PO RALG TAMISEMI
Naombeni kujua tutegemee majibu ya vibali mwezi gani?
😂😂😂Hahahahaha Yan unamuacha boss wako wewe unaenda TRA unadhani atakukubalia
🙆SEPTEMBER MOSI 2027