HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa uelewa wangu mimi.
1. Status inaweza kuchukua kuanzia miezi sita hadi mwaka hadi kupata majibu ya uhamisho wako. Na hii naisema kutokana na experience ambayo mimi nilipitia ili kuhama lakini na wale ambao niliweza saidia kuhama kupitia mfumo. Hii ni kutokana na bajeti ambayo huwa umetengwa pia.

2. Mwenye final say ya wewe uhame au la ni Katibu mkuu Tamisemi. Sasa kupata au kukosa hutegemea na sababu ambayo imeambatana na ombi lako la uhamisho pamoja na viambata ambavyo utakuwa umeweka wakati unaomba. Sababu ikiwa ya msingi na ushahidi wa documents unathibitisha hilo basi kwa 100% unapata uhamisho bila kikwazo. Kumbuka Government works on Paper so documents kama zilikuwa fresh unapata transfer.

3. Usijisumbue kwenda Dodoma kama umeshaomba uhamisho kwenye mfumo. Kaa tulia subiria majibu yako. Kwenda Dodoma kutakufanya upoteze nauli tu na unaweza angukia kwenye kutapeliwa pia
 
Umejibu kiuungwana sana. Asante
 
Mfano mimi ni uhamisho wa kubadilishana na wote tunafuata familia zetu(ndoa)

First Prev88 of 88
 
Utumishi - Kutoka taasisi moja kwenda nyingine/wizara moja kwenda wizara moja kwenda nyingine/halmashauri kwenda wizarani/wizarani kwenda halmashauri/halmashauri kwenda taasisi/taasisi kwenda halmashauri

TAMISEMI - Kutoka halmashauri moja kwenda nyingine

RAS - Kutoka halmashauri moja kwenda nyingine ndani ya mkoa wake

DED - Kutoka work station moja kwenda nyingine ndani ya halmashauri yake
Kwaio
Naweza omba toka trc kwenda taa kuputia tu katibu wa uchukuzi, sababu wote wapo chini ya Wizara moja ya Uchukuzi?
 
Jamani nimerudi tena. Naona nikifuata hii ESS nitazeekea huku shuleni wakati sio lengo langu.
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba mwenye kuweza anisaidie kupata connection ya kuwa mkufunzi vyuo vya kati vya ualimu....au kuhamia taasisi ya elimu ya watu wazima. Nina miaka 13 kazini na elimu inatosha kujiunga kwenye hizo nafasi.
Natanguliza shukrani za dhati.
 
Vyuo vya Ualimu uwe daraja tgts E, kuomba kama upo Ndani ya Wizara ya Elimu Sayansi na teknolojia,basi andika barua Aya kuomba kuhamishiwa vyuo vya Ualimu,ila kama upo Tamisemi ess inakuhusu,omba kuhamia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia,ukisha pata utaomba wangupangie vyuo vya Ualimu
Cha msingi omba Sana Mungu maana wapo wanaotaka uzeeke hapo hapo
 
Nipo tgts E chini ya TAMISEMI. Kuchomoka sasa kwenda WeST ndo kamzozo
 
Jamani nimerudi tena. Naona nikifuata hii ESS nitazeekea huku shuleni wakati sio lengo langu.
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba mwenye kuweza anisaidie kupata connection ya kuwa mkufunzi vyuo vya kati vya ualimu....au kuhamia taasisi ya elimu ya watu wazima. Nina miaka 13 kazini na elimu inatosha kujiunga kwenye hizo nafasi.
Natanguliza shukrani za dhati.
Akipatikana nishtue na mm posho ipo mfuko wa shati 3M
 
Jaman nauliza kuna wakala umeanzishwa july unaitwa NAESA je umeanza kufanya kazi na je utawahamisha maafisa ugani wote automatic kutoka TAMISEMI, mwenye uelewa niasaidie
 
IMG-20261011-WA0004.jpg
 
Jamani nimerudi tena. Naona nikifuata hii ESS nitazeekea huku shuleni wakati sio lengo langu.
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba mwenye kuweza anisaidie kupata connection ya kuwa mkufunzi vyuo vya kati vya ualimu....au kuhamia taasisi ya elimu ya watu wazima. Nina miaka 13 kazini na elimu inatosha kujiunga kwenye hizo nafasi.
Natanguliza shukrani za dhati.
Ewaa wewe sasa umesema, hata mimi baada ya kulamba rejected nimeona ess ni uchawi tu nasaka namna ya kusepa kupitia nje ya mfumo tu.
 
Back
Top Bottom