HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu, Hivi kwa mtu ambaye hajafikisha miaka 3 kazini, anaweza kuhama kwa kutumia mfumo_endapo atakuwa na sababu maalumu??
Mfumo umesetiwa automatic, chini ya miaka mitatu mfumo wenyewe utakujibu kwamba mpaka utimize three yrs
 
Mfumo umesetiwa automatic, chini ya miaka mitatu mfumo wenyewe utakujibu kwamba mpaka utimize three yrs
Shukran_ Ila Kuna Time Jana nilikuwa Najaribu kuinitiate transfer [Kwenye Normal Transfer] Nikacreate na nikasubmit kwenye status ikaonesha imeenda kwa supervisor [ila baadae nikaifuta maana ckuweka viambatanisho vya muhim]_ Ndo mana nkaona niulize au mfumo uliyumba tu au inawezekana!
 
Kucreate utaweza, lakini ukifika hatua ya ku-initiate(kwa maana ya kulisukuma kwenye mamlaka inayofuata) lazima itakujibu huna vigezo
 
Hapa ni changamoto. Ukitumia Normal transfer inaenda vizuri ila ikifika kwa Head of Department ngoma inagoma nakurudi
Mimi nimeomba normal imefika "transfer request is accepted" inataka niconfirm, je kuna kamoshi keupe kanaonekana hapo?
 
Ingia kwenye mfumo wa ESS, kisha tafuta MOEST (Ministry of Education, Science and Technology). Watakukubalia (accept) kwa haraka. Ukifika huko, waombe wakupangie kwenye Vyuo vya Ualimu. Kumbuka unahamia huko na mshahara wako wa sasa tu, kwa sababu Vyuo vya Ualimu havina scale (mshahara) yao ya pekee
Wanatumia pia TGTS pia!?
 
Kuna hizi terminology normal transfer, vacancy transfer na auto zina maana gani.
 
Hivi siku hizi auto accept ya siku 10 kwa accounting officer au head of destination zeondolewa? Maana maombi yanakaa zaidi ya siku 10 bila kupitishwa au kujipitisha.
 
Hivi siku hizi auto accept ya siku 10 kwa accounting officer au head of destination zeondolewa? Maana maombi yanakaa zaidi ya siku 10 bila kupitishwa au kujipitisha.
Sasa mkuu unaitakanhiyo Auto ya Nini wakati ikifika Utumishi inakataliwa..?
 
Nimecreat vacancy request TANTRADE imekubali, vipi wakuu pakoje huko kama pabaya niWithdraw chap
 
Sas

Sasa kipi Bora. Zijipitishe ikataliwe juu kwa juu au ikae tu palepale? Mimi naona Bora ijipitishe ili watu wakatafute connection huko mbele ya safari.
Kama unaweza kupata connection ni bora tupambanie hiyo connection sasa, huu mfumo achia kwanza
 
Hivi siku hizi auto accept ya siku 10 kwa accounting officer au head of destination zeondolewa? Maana maombi yanakaa zaidi ya siku 10 bila kupitishwa au kujipitisha.

Auto accept inakuja pale tu Hilo ombi kwa destination limepita hatua ya 1 Yaani kwa HR
 
Back
Top Bottom