Nakadi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,772
- 7,372
Ukiwa unajibu QUOTE ujumbe wa mtu ili tujue unamjibu nani na Kwa jambo gani..inawezekana maboss
Ukiwa unajibu QUOTE ujumbe wa mtu ili tujue unamjibu nani na Kwa jambo gani..inawezekana maboss
Kumbe maana naona taasisi nyingi zipo open zinatamanishainawezekana maboss
Zipi hizo mkuu na ni vyeo gani vinakubali.?Kumbe maana naona taasisi nyingi zipo open zinatamanisha
Vyeo vingi tu kwa mfano TA, Admissions kwenye taasisi za Elimu na taasisi mpya mpyaZipi hizo mkuu na ni vyeo gani vinakubali.?
Sawa, hizo waalimu ndio zinawafaa. Pambanieni kombe hiloVyeo vingi tu kwa mfano TA, Admissions kwenye taasisi za Elimu na taasisi mpya mpya
Yes izo kwa walimu n mahali paoSawa, hizo waalimu ndio zinawafaa. Pambanieni kombe hilo
Hilo halikosekani Mkuu kwenye maisha, hata hela Kuna watu wanapata pesa Tena nyingi bila kufanya kaziIla kuna watumishi wanaendelea kuhama bila kutumia mfumo.
Accounting officer ni Mkuu wako wa Taasisi uliyopo currently(UNAKOTOKA)Wadau niaje?
Mim niliomba vacancy ikakubali mkurugenz akapitisha,ikaenda kwenye taaisis ikakaa siku kumi ikatoka( nimeambiwa hapa ilikaa siku 10 tu sababu HR alipitisha ila Mkuu wa taasiai hakupitisha ndio maana ikajisogeza auyo afyer 10 days).Sasa ikasema ni initiate normal trancer after vacancy request nikafanya hivyo,ikatembea kwl hadi mwisho,ishu ikaja kila nikitaka kusubmit utumishi inasem vacancy already filled yan nafasi imejaa.Ila sikuwithdraw,leo nimeenda kusubmit ikakubali ila imeirudisha kule nakuamia upande wa ACCOUNTING OFFICER FOR APROVAL(NASKIA Huyu ndio ataonesha bajeti ipo.au haipo ambye ndio mkuu wa taasisi)..Kuna mwingine anasema ni.accounging officer sehemu nayotoka yan mkurugenzi,mqenye uelewa anieleweshe
Utumishi wameondoa kipengele cha Automatic kwa Accounting officer..ilitakiwa baada ya siku 21 za kazi iondoke yenyewe lakini now days haikubali...mpaka apitishe wakati wa Transfer.Accounting officer ni Mkuu wako wa Taasisi uliyopo currently(UNAKOTOKA)
Yote hio ni kuweka vikwqzo tu. Wanajua waajiri ni wagumu kucoment positively, wanataka hizo negative comments za waajiri ili watulambe rejected 😄Utumishi wameondoa kipengele cha Automatic kwa Accounting officer..ilitakiwa baada ya siku 21 za kazi iondoke yenyewe lakini now days haikubali...mpaka apitishe wakati wa Transfer.
Kaka hiyo barua ya maombi sijaelewa ni muhimu au na inakuwajeWadau niaje?
Mim niliomba vacancy ikakubali mkurugenz akapitisha,ikaenda kwenye taaisis ikakaa siku kumi ikatoka( nimeambiwa hapa ilikaa siku 10 tu sababu HR alipitisha ila Mkuu wa taasiai hakupitisha ndio maana ikajisogeza auyo afyer 10 days).Sasa ikasema ni initiate normal trancer after vacancy request nikafanya hivyo,ikatembea kwl hadi mwisho,ishu ikaja kila nikitaka kusubmit utumishi inasem vacancy already filled yan nafasi imejaa.Ila sikuwithdraw,leo nimeenda kusubmit ikakubali ila imeirudisha kule nakuamia upande wa ACCOUNTING OFFICER FOR APROVAL(NASKIA Huyu ndio ataonesha bajeti ipo.au haipo ambye ndio mkuu wa taasisi)..Kuna mwingine anasema ni.accounging officer sehemu nayotoka yan mkurugenzi,mqenye uelewa anieleweshe
Mambo yanazidi kuwa MagumuYote hio ni kuweka vikwqzo tu. Wanajua waajiri ni wagumu kucoment positively, wanataka hizo negative comments za waajiri ili watulambe rejected 😄
Siku mojaView attachment 3693936
Wakuu hivi hapa inachukua muda gani kujipitisha auto au hiko kipengere hakipo kwa sasa hadi mkuu haipitishe mwenyewe
Hata kwangu, Supervisor amepotea pia😂Ess kwangu ina goma aisee naambiwa set financial year duh yaani mambo taflanii
Hata kwangu, Supervisor amepotea pia😂