Nakadi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,772
- 7,372
Kaka, nilichojifunza ni kuwa Ogopa sana E-Transfer ikiwa imelockiwa siku za kazi, yaaan ikija kurudi inarudi na NYUNDO kama hizoNimekutana na za kichwa wapambanaji wenzangu ila tusichoke kupambana.

Ulianza na vacacy request kwanza au transfer request moja kwa mojaNimekutana na za kichwa wapambanaji wenzangu ila tusichoke kupambana.
Ulianza na vacacy request kwanza au transfer request moja kwa moja
Nyie wenye connection mbona hamtoi kwa wenzenu, si mnaona kama hivyo watu wanakutana na nyundo na hamtoi msaada.Tafuteni connection watumishi, hamtahangaika na huo mfumo wenu.
Na kule unakohamia walipitisha kabisa au ilikaaje?Nilianza na vacancy transfer
Hizo ndio connection sasa. Zinatengenezwa kwa njia nyingiNa kule unakohamia walipitisha kabisa au ilikaaje?
Kingine ombi likifika utumishi kama ulianza na vacancy na ikapita inabid usogee utumiahi utafute mtu wa connection apush.Maana vacancy hio mnakuta mmeiiomba watu 10 na wpte ikakubali sasa jiulize why kati ya hao 10 wakupe wew,hapo ndio unatakiwa upande juu.Yan ikifika utumishi panfa utumishi.Labda kama nasfi imeombw ana wachache kupata ni rahis.Mim ikifika utumish aisee nasoge huko sitakosa mtu
Wanasema hakuna urahisi huo wa kupata connection kuleNa kule unakohamia walipitisha kabisa au ilikaaje?
Kingine ombi likifika utumishi kama ulianza na vacancy na ikapita inabid usogee utumiahi utafute mtu wa connection apush.Maana vacancy hio mnakuta mmeiiomba watu 10 na wpte ikakubali sasa jiulize why kati ya hao 10 wakupe wew,hapo ndio unatakiwa upande juu.Yan ikifika utumishi panfa utumishi.Labda kama nasfi imeombw ana wachache kupata ni rahis.Mim ikifika utumish aisee nasoge huko sitakosa mtu
Tufanyeje mkuu?Endeleeni na illusion huo mfumo umekuja kuzuia uhamisho ila mnajitoa ufahamu,wake up mnapotezewa muda.
Poleni.
Na kule unakohamia walipitisha kabisa au ilikaaje?
Kingine ombi likifika utumishi kama ulianza na vacancy na ikapita inabid usogee utumiahi utafute mtu wa connection apush.Maana vacancy hio mnakuta mmeiiomba watu 10 na wpte ikakubali sasa jiulize why kati ya hao 10 wakupe wew,hapo ndio unatakiwa upande juu.Yan ikifika utumishi panfa utumishi.Labda kama nasfi imeombw ana wachache kupata ni rahis.Mim ikifika utumish aisee nasoge huko sitakosa mtu
Endeleeni na illusion huo mfumo umekuja kuzuia uhamisho ila mnajitoa ufahamu,wake up mnapotezewa muda.
Poleni.
Hizi mbona kaazile za mwanzoMchongo huo hapo, shambuliaa
Huu ni mpya mkuu..Mchongo huo hapo, shambuliaa
Zipo hizi au zilishapita na kujaza..?Mchongo huo hapo, shambuliaa
pole hiyo ni auto kaka,tafuta nafasi sehemu kwanzaNimekutana na za kichwa wapambanaji wenzangu ila tusichoke kupambana.
pole hiyo ni auto kaka,tafuta nafasi sehemu kwanza