HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Eeh kaka mwishoni mwishoni ile mie ni wale auto kwahyo matumaini kama yanafifiaaa fifia
Mkuu wewe unapata mwezi huu, maana kama OMBI lilienda July mwishoni mwishoni na umenusurika na REJECTED Ile September.. we subiri kibali tu October hii Mwishoni
 

Attachments

  • 1000296759.jpeg
    1000296759.jpeg
    30.3 KB · Views: 4
Miaka yangu 10 ndani ya utumishi wa umma nimeshuhudia mengi sana na mimi mwenyewe ni muhanga wa comment mbaya za waajiri. Nikiwa mwajiriwa wa halmashauri moja niliandika barua ya kuomba kazi TAEC. Ile barua mkuu wangu wa idara alicomment HE HAS NO QALIFICATIONS TO HANDLE THE APPLIED POST
Mkuu waidara yule alikuwa ana miezi mitatu tu hanijui jina wala sura yangu kwanza nilikuwa siripoti kwake wala mimi sikuwa Headquater kwahiyo hatufahamiani. Sijui kwanini alikuwa na roho mbaya namna ile.
Kufanya kazi Halmashauri kunasababisha watu wanakuwa na roho mbaya sana.
 
Back
Top Bottom