Official planner
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 253
- 351
Anayefahamu mshahara wa PGSS 6.1 TAFORI Ni shilingi ngapi?
Kabla ya ongezeko la mama ilikuwa 1.2MAnayefahamu mshahara wa PGSS 6.1 TAFORI Ni shilingi ngapi?
ShukraniKabla ya ongezeko la mama ilikuwa 1.2M
PGSS ni scale pia za watumishi wa vyuoni wasio Academician, wahasibu, warden, procurement, lawyer e.t.c
Jana Tr 16 watamisemi baadhi wameonesha ushuhuda kupitia FB wamepata barua hasa wale wa exchange.Wakuu mwezi huu hakuna ushahidi hata wa REJECTED?
Jana Tr 16 watamisemi baadhi wameonesha ushuhuda kupitia FB wamepata barua hasa wale wa exchange.
Tuendelee kula mtori nyama ziko chini wadau
Changamoto mfumo unasumbua kutuma maombi, halafu sijui umesetiwa kila unapoomba jibu ni VACANCYNOT BUDGETEDJana Tr 16 watamisemi baadhi wameonesha ushuhuda kupitia FB wamepata barua hasa wale wa exchange.
Tuendelee kula mtori nyama ziko chini wadau
Neema inakujaView attachment 3692367
Jamaa yangu kapokea barua jana l
Naamini j3 mfumo ukirudi wengi tutapata vibali, sema usikute nishawekewa Jana nilikuwa busy sikuingia kwa ESS, na Leo wamelock mfumo.View attachment 3692367
Jamaa yangu kapokea barua jana l
NIshati.... aaaah maisha mazuri hayoooView attachment 3692367
Jamaa yangu kapokea barua jana l
Aliomba uhamisho mwishoni mwa mwezi wa 7 kajibiwa janaMkuu naomba kujua pia Huyo ombi lilifika tarehe ngapi mwezi wa ngapi Utumishi..?
Hongera zakeAliomba uhamisho mwishoni mwa mwezi wa 7 kajibiwa jana
Kapambana mwenyewe? hajashikwa mkono?Aliomba uhamisho mwishoni mwa mwezi wa 7 kajibiwa jana
Kama Kuna mtu aliwahi kutoa ushuhuda wa hili.. Kuna jamaa alijibiwa Vacancy already filled in destination organization..? Mkuu, mfumo sio wa kuuamini 💯% unaweza kukupiga kwa surprise yoyote ileHivi, inawezekana ukaomba Vacancy Request ikakubaliwa na Head of Your Institution, kisha ikaenda kwa Head of Institution in Destination naye akaikubali, lakini baadaye ukianzisha Normal Transfer ikakataa?
Auditor/Acountant II Copra salary wanalipaje na allowanceBwana dereva unataka taasisi yenye safari nyingi
Nenda copra, tume ya madini, mipango na uwekezaji, Osha, Ucsaf, NAOT, ila kuingia huko ni mpaka uwe na connection
Hapo changamoto ujue Hadi watatuchoka wa ajiri wetuKama Kuna mtu aliwahi kutoa ushuhuda wa hili.. Kuna jamaa alijibiwa Vacancy already filled in destination organization..? Mkuu, mfumo sio wa kuuamini 💯% unaweza kukupiga kwa surprise yoyote ile
ze seeker